1. Mungu hajibu hisia za mtu wala kukupatia unaempenda sana, bali anakupa mtu anaemtaka yeye na utakoma kwa sonona la miaka mingi.
2. Picha ulizo nazo kichwani tupa kule, Mungu ana picha zake...
habari wadau
kwa kweli maisha yangu yameendelea kuwa katika sintofahamu ambayo inazidi kadri ya siku zinavyo songa mbele. juzi mke wangu kaondoka nyumbani kisa huyu mpenzi wangu wa zamani ambae...
Hawa wadada ambao Nima-maids wengi wao niwahuni kupindukia wanaveshwa sana na ma MC, PHOTOGRAPHER NA MA dj Tena Sisi wapiga picha kwenye harusi hawa wadada sio kazi saaaanaa kuwavesha yote kwa...
Wale masinia wenzangu tuambizane changamoto tunazokumbana nazo na tunazihandle vipi. Nikianza na mimi binafsi
1. Maswali- Harusi lini? Una watoto wangapi? bado unachagua?n.k
2. Upweke- kuna wakati...
Hope mko poa
Ipo hivi niliendaga hospitali moja inaitwa KAMANGA kwa wakazi wa mwanza mtakua mnaijua ipo maeneo ya Nyegezi . Sasa kuna Mtu nilimpeleka pale kwenda kutibiwa sasa wakati yeye akiwa...
Natamani kuuliza swali hili kwa members wa kike wa humu wanipe majibu at least nipate kujua hii kitu vizur,
kwani natamani siku moja kuwa counceler wa mambo ya mahusiano.
Swali ni;
Mwanaume...
Habari wana JF
Kwanza nitangulize shukrani kwa yeyote aliyefungua uzi huu. Nina changamoto sana katika swala la mahusiano kwa mwanamke niliyekutana nae Dar na kuanzisha mahusiano. Tumedumu katika...
Habari za muda huu wakuu
Nimejiskia kushare historia yangu ya safari ya ndoa KWA UFUPI SANA wakuu ukiona mwanamke kachoka kavumilia mengi
Mimi ni mwanamke mwenye watoto3 niliolewa miaka14...
Afya nzuri ya akili na kuwa na mpenzi huwafanya watu kuwa kwenye furaha kuliko hata kuongezwa mshahara mara dufu, kwa mujibu utafiti mpya.
===
Utafiti huo uliofanywa na chuo cha masuala ya...
Hivi ni nani aliyetuloga watu wa kusini? Mwaka Jana baada ya kupata hela za korosho tuliwanunulia soda mbuzi , mwaka huu tena madiwani wa Masasi wanalalamika baada ya kupata hela za korosho...
Kitu ninachokichukia au kukisia au kukiona ni Mchumba kuomba pesa.
Maana mnaweza kutana siku ya kwanza mkibadirishana tu namba hapo hapo anakuambua hana bando, mara anataka pesa ya saloon mara...
Mapenzi sio hisia hata kidogo. Dunia ya leo inatufundisha kwamba mapenzi ni hisia azipatazo mtu kama reaction kwa kuvutiwa na mtu mwingine. Ukweli ni kuwa huo ni uongo unaomaliza ndoa siku hizi...
Heshima kwenu wakuu,
Poleni kwa majukumu ya kazi, maisha yaenda hivovo hata iweje kikubwa unaishi na pumzi ipo.
Niingie kwa mada moja kwa moja. Sisi binadamu ni viumbe ambao kwa kweli haturidhiki...
Hello wana JamiiForums natumaini mko salama na mnaendelea na shughuli katika ujenzi wa taifa.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mwaka 2018 Nilifanikiwa kupata kazi katika kampuni moja ya simu...
Habari wana jf?
Kwa kweli nianze kwa kutoa dukuduku langu kwa wanaume baadhi ambao hawana msimamo.
Sifa ya kwanza ya mwanaume kwangu mimi ni kuwa na msimamo. Ujue nini unataka. Ujue kufunga na...
Mnamo tarehe 10 mwezi januari 2019, Namba 116 ilipokea simu kutoka kwa jirani akiarifu kuhusu mtoto wa miaka 12 aitwae Olivia. Olivia alihitimu darasa la saba mwaka 2018, matokeo yalipotoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.