Mnunulie BibliaZawadi gani yenye thamani ya elfu 20 au chini ya hiyo itamfaa mpenzi Wangu ambaye penzi bado jipya?
Chupi sawa kimbele lakin,ila kibongo bongo kama demu anauwezo mdogo wakufikiri ataona jamaa anakuja na kasi 4G kuomba mzigo
Mnunulie Biblia
Ndo unataka umnunulie zawadi ya elf 20. Kua serious. Tafuta pesa umnunulie pete ya TanzaniteDemu ni wakishua bro,na ana digirii mbili