Wakina dada tumieni mbinu ya Vanessa Mdee, siku mbili tu ashajua mume ni yupi

Arovera

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
10,945
28,401
Dada zangu ambao hamjaolewa hakikisheni mnajifunza kwa Vanessa Mdee kwani yeye alitumia siku mbili tu kufahamu mume wake ni yupi.

Msije mkawa mnachagua hadi mnafika umri ambao mmeishiwa soko hata wa kuwachagua hayupo.

Jifunzeni kwa huyo binti atawafundisha mbinu sahihi yaani masaa 48 tu ashajua mume halisi.
 
Waambie mkuu nikisema Mimi watasema nimelewa mambo gani haya ya kupigana calendar

Unasubiria ombi utadhani unasubiria post za ajira serikalini eti anakuchunguza mwezi mzma seriously umekuwa CIA tumieni masaa 48 mambo yaeleweke fanyeni maamuzi kama yes or no Hio ni win win situation ukichunguza sana sio guarantee ya kupata kitu bora
 
kweli mkuu, arafu wakiona mambo yamewawia ugumu ndio wanakuja humu mitandaoni na umri wao wa miaka 34 na kujiita wao bado ni mabinti wabichi au wasichana
Halafu fatilia hiyo miaka 34 ya ubinti wao wanaosema, utakuta wameachana na wanaume zaidi ya 50 bongo raha Sana dada zetu na mahali ya milioni 500
 
Dada
acha wivu
Sio wivu, kwn ww mapenzi ya show off huyajui?, mapenzi ya wasanii huyajui?

Km wakidumu bs watakuwa wamejitahd kila la kheri kwao..mn siwaombei mabaya lkn weng wana mpnz ya show off bs...alimradi tu kukomoana
 
Back
Top Bottom