okoyoko
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 2,664
- 3,639
Hello,
Hii ni tahadhari kwa wale wakware wenzangu mnaopenda kuchat na madem tofauti especially whatsapp, fb, etc, huku mnajiona mnapendwaaa. Nimetongoza wadada wengi na kugegeda kwa kiasi chake, katika interaction kati yangu mm na wao nimegundua "MOST OF THEM ARE MANIPULATIVE (SIO WOTE)" these are the things they do:
1)Hatapokea simu yako, na pia hatojibu sms zako kwa makusudi kabisaa, partly because hakupendi and partly because it boost her ego kuona wanaume 20 wanamlamba lamba miguu.
2) Indirectly atajigamba kwa mashosti zake kwa kuwaambia mara ngapi unampigia simu kwa siku, wengine huenda mbali zaidi kuonesha rafiki zao wa kike sms kibao unazomtumia whatsapp hlf wote wanaanza kukucheka na kukusanifu huku ww mwanaume unajiona kidume.
3)Atakataa tu kuonana na wewe bila sababu yoyote ya msingi, yani basi tu kaamua (this also boost her ego)
4)Ataanzisha malumbano na wewe ili tu akukatie simu mapema, or lyk unaongea nae mara out of the blue she brushes you off lyk "haya bhana baadae" as if she has more important things to do na ww huna lolote, some chicks use this tactic boost her ego.
5)Anakudanganya kuwa mtakutana sehem flani wakati anajua fika kuwa hana intention ya kukutana na ww, hii pia inampa psychological high lyk she is shunning another guy who is chasing her
6)Atafuta namba yako au ataku-block fb au whatsapp in order to feed her empty ego, just to demostrate the pussy power
7) Atakuomba umnunulie kinywaji, hlf atawaambia rafiki zake, muoneni huyu fala anadhan ataipata papuchi. Wasichana wengine huomba hela kwa wanaume 5 tofauti akishazipata anaanza kuwaambia rafiki zake jinsi alivopata mabweha wa kuwachuna..it gives her a huge ego boost
8)Atakupa phone number ambayo ni feki, karibia kila sexually active woman ashatoa namba feki hata wale ambao wana sura za bibi zao..
9) Atakukatalia ofa yako ya kumpa s*x, hii ni kwa sababu most women wana s*x options nyingi so mathematically its impossible kulala na kila mwanaume so she turns down 70% of them. Kumnyima mwanaume sex gives her a psychological high, saa nyingine atakunyima tu bila sababu yoyote ya msingi hlf ukiondoka atawaambia shosti zake "mxeeeew yule mkaka nimemsumbua" ili akukomeshe...and it also boost her ego
10) Ukimtongoza anakukataa hata kama she is interested in you, yani anakukataa hlf kimoyomoyo ana-hope uendelee kumfukuzia, it gives her a huge ego boost
NB:- Sio wanawake wote wanafanya hivi, there are few good women out there ambao they'll actually love and care for you, ila kuwapata sasa kwa taste unayoitaka ww ndo balaa.
-Wanawake wengine wa jf mwaweza kupinga haya nliyoyaongea..lakini huu ni ukweli. Its sad but true.