state agent
JF-Expert Member
- Jul 1, 2019
- 1,764
- 2,515
Je uliwahi kuligwa /kupiga kofi kalio la mpinzi wako wakati wa kugegeda?
Je uliwahi kukunjwa /kukunja kwa nguvu mpaka ukakosa pumzi wakati wa kugegedana?
Je, uliwahi kupata michubuko sababu ya kugegedwa kwa nguvu na ukahisi maumivu makali baada ya tendo?
Je, uliwahi kuamshwa na mpenzi ukiwa umechoka sana na akataka penzi kwa shurti?
Mahakama mchini Uingereza inapanga kukubali ombi la wanawake 2000 waliotia sahihi juu ya matendo ya hapo juu kuwa jinai na unyanyasaji wa ngono hata kama wapenzi waliridhia.
Utafiti umeonesha kuwa wanaume wengi huwachubua na kuwapiga makalioni wapenzi wao vibao vinavyoumiza na kuacha alama ya mikono wakati wa tendo kutokana na kungalia zaidi filamu za ngono
Wanawake Jijini London wameomba kuwa walivumilia suala hilo kama sehemu ya burudani ila sasa wanaona limejaa maumivu sana hasa kama hufanya mapenzi mara kwa Mara na kutaka sheria kali iwekwe
Chanzo BBC
State agent