Nimekutana na taarifa ya Michele Obama, na tatizo la Sonona.
Hii Chini ni taarifa hiyo.
"Ninaamka usiku wa manane kwasababu nina wasiwasi juu ya kitu fulani au nawaza kuhusu mzigo mzito...
Msaada wapendwa, ninaishi na binti, ni ndugu. Alikuja kuishi kwangu baada ya kusumbua sana kwao kuhusu shule, hata hivyo hapa kwangu shule ilishindika baada ya kushindwa mitihani mingi. Ikafikia...
Natumai hamjambo wakuu.
Miongoni mwa mambo yanayotufanyaga wanaume tuzione safari ni nyepesi hata kama tuendako ni mbali ni kukaa karibu na mtoto wa kike, binafsi nikisafiri hua napenda...
Kwa wale wenye uzoefu na mnatambua saikolojia ya mwanamke ivi ikifikia hatua ukagundua ameshakuchoka na ameshapoteza interest na wewe ni nini cha kufanya akiwa mke au mchumba?
Hebu tupeane mbinu...
Jumuiya ya Afrika Mashariki kiasili inaundwa na mataifa matatu Tanzania Kenya na Uganda. Hizi nchi tatu zinashabihiana kwa mengi lakini sio yote.
Kwa mfano Uganda mojawapo ya makabila yake yana...
Kwenu wanawake, hakuna dhambi mbaya kabisa kwenye ndoa kama kuvunja uaminifu. Dhambi hii haiponi hata kama mumeo atatangaza msamaha, ndio utakuwa umejiweka mahali pabaya mwenyewe. Fanya yote...
Nimeyumba kidogo kiuchumi toka mwezi wa 1. Kutokana na Corona na sehemu nyingi duniani kuyumba kiuchumi pia.
Binafsi huwa nanunua kila kitu mwisho wa mwezi na kuweka nyumbani, kila kitu kwa...
Ni mtoto wa shangazi yangu alimaliza form 6 mwaka jana, alipata chuo cha SAUT hapa Mbeya hakukipenda so kabaki hapa kwangu na tayari kakubaliwa kuanza mwaka huu chuo anachokipenda
Sasa ishu...
Habarini za wakati huu wadau..Hopefully ni nzuri kabisa..
Bas leo nna jambo muhimu la kuwaasa wale wote wenye watoto,mimi bado mdogo ila na sina familia ila kwa hiki nilichokishuhudia ata nikiwa...
Habari ndugu zanguni.
Mwaka 2017 nilibahatika kupata milioni tatu katika harakati zangu. Kuna kaka yetu ambae baba alimzaa nje ya ndoa. Hakuwahi kuja kwetu mama yake hakupenda Kabisa tujuane...
Wakuu bila shaka hamjambo! sihitaji kupoteza muda wenu ngoja niende kwenye mada.
Katika kitaa nachokaa kuna mshikaji mmoja ni mtu wa kuchukua sana wadada haijarishi ni aina gani yaani jamaa ni...
Watuuu! Mukuje mukuje niwape story yangu
NILITONGOZWA, NIKAKUBALI NA KUPEWA CHAKULA
Kuna mhubiri mmoja alisema wanawake walipewa moyo mgumu mno yaani anaweza kutongozwa lakini akakataa. Yaani...
Muda mchache, nimelushiwa video clip, ya dada mmoja akiwa ana mwagika damu nyingi sana, yaonyesha alikuwa amekatwa na kitu kama kisu shingoni, na uhai umetoweshwa. Katika kujiukiza, hii kitu sio...
Kumekuwa na propaganda nyingi sana kuhusu upungufu wa Nguvu za kiume na tiba zake.na kumekuwa na tafsiri nyingi sana za watu juu ya upungufu wa nguvu za kiume.
Wapo wanaoona kwamba kukojoa mapema...
Wakuu naomba kujua kati ya mwanamme ambaye hajafanya mapenzi kwa muda mrefu vs anayefanya mazoezi ya viungo kila siku ni yupo anasukuma pampu vizuri wakati wa kula tunda au kugegeda?
Mfano...
Uaminifu ni msingi wa mapenzi, wako wanaodhani mapenzi yanaweza kushinda kila jaribu lakini ukweli ni kwamba bila uaminifu mapenzi hayana afya njema
1. Usimfiche mwenza wako hali yako ya...
Mara nyingi nimekutana na threads mbalimbali hapa MMU ambazo wahusika wamekuwa wakidai kuwa aidha wana tatizo la kuwahi kufika au kuchelewa kufika. Threads za aina hiyo zimeendelea kumiminika...
Habari wadau, kuna binti nipo kwenye mahusiano naye na amenizalia mtoto. Sasa kajipangia na mahari kabisa kwamba nisipo toa hiyo pesa bora tuachane.
Sasa najiuliza kweli hapo kuna mapenzi?