Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hellow JF, natumai mko poa, Tukumbushane kama ulishawahi kuwa na mahusiano na mtu aliyekuzidi umri, elimu, kipato n.k, watoto wa mjini wanasema ngekewa. Mimi historia yangu ipo hivi! Mwaka 2012...
17 Reactions
308 Replies
28K Views
Habarini za majukumu wana MMU! Mimi ni member wa JF napenda sana hili jukwaa ila sijawahi kupost chochote. Kwanza kabisa mimi ni mwanafunzi wa chuo fulani hapa mjini, nimepanga chumba kimoja...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Wanabodi, wasalaam! Ni muda kidogo sijaweka bandiko hapa, Mara nyingi nimekuwa msomaji wa nyuzi mbali mbali zinazowekwa hapa! Twende kwenye mada! Nina jamaa yangu ana mpenzi wake, mwakani...
2 Reactions
38 Replies
4K Views
1. Anzisha mahusiano mapya kimya kimya ili uweze balance hisia na moyo wako kujiweka sawa na mwingine. 2. Punguza mawasialiano ili kutengeneza mazingira ya kuanza kuzoea bila yeye unaweza. 3...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari za muda huu, Naomba kuuliza hii imekaaje X-Girlfriend wako kukueleza shida zake na kukuomba omba pesa wakati alikuacha mwenyewe. Je, ni sahihi kumtumia pesa huyu X wako aliyekuacha...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Niliwahi kuandika Uzi kuhusu kisa hiki. In case hukupata bahati ya kusoma uzi huo then let me refresh ur memory. Ni hivi nilifahamiana na Halima Hussein in 1995. I was 10 and she was 9. I was...
1 Reactions
52 Replies
5K Views
Napenda kupewa Elimu ilikuwaje wakachagua kidole cha kuvishwa Pete ya harusi na siyo vingine, pia kwa asiye na vidole labda kwa ajali au ugonjwa huwaje?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
UKIMWI tu ama tupimwe magonjwa yote kabla ya kufunga ndoa? Kwanini huwa hawapini kisukari, figo, moyo, vidonda vya tumbo, matatizo ya ini, matatizo ya akili na mengineyo yote? Kwanini wasifanye...
7 Reactions
81 Replies
12K Views
Ila mimi kila siku nakuja hapa.Sijui kwa vile I'm young nobody comments. Sawa lakini kuwa mdogo haijalishi I'm socializing like other people Nadondosha wasifu kwanza Age: 19 Marital status...
0 Reactions
60 Replies
4K Views
Katika maisha yangu, nimejitahidi sana kujifunza masuala ya kujenga na kuimarisha mwenendo katika nyanja mbali mbali za maisha. Eneo mojawapo ninalojifunza pia ni eneo la mahusiano ya uchumba na...
15 Reactions
73 Replies
8K Views
1.Dalili ya kwanza anaanza kupunguza mawasiliano na wewe taratibu na wewe . 2.ukijifanya unaongeza spidi ya kumtafuta ili muonane au mkutane anakwambia yupo bizeee 3.Dalili ya tatu ukijifanya...
6 Reactions
65 Replies
15K Views
Wakuu habari zenu, Poleni na majukumu ya mihangaiko ya kila siku bila kupoteza muda niende kwenye mada husika. Usiku wa kuamkia leo kumetokea tukio la kusikitisha maeneo ya Mbagala Rangi Tatu...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Natumai hamjambo wakuu. Wanaume tunaumia sana tukijua/kuhisi kua wake zetu/wenza wamechepuka, maumivu haya kwetu sisi ni zaidi ya msiba coz hutufanya tufikirie labda hatujiwezi au hatuna thamani...
3 Reactions
54 Replies
5K Views
kuna sister mmoja tuna date miaka mingi sana kwa sasa.actually sija jibinafshia ni mtu ambaye huwa tunapohitajiana kwa matukio maalum tunatafutana na kuwezeshana halafu kila mtu anashika 50 zake...
11 Reactions
199 Replies
36K Views
Baada ya mimi kukataa kumbebea mkoba wake kama wengne wafanyavyo yamemtoka maneno mazito hadi ya wewe kama unanitumia niambie. Sasa najiuliza maneno yote yametokea wap jameni Anyway, mimi na...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Huu ni kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na wanasaikolojia hapa nimecopy na kupaste 1. Mwanamke akigundua amekuzidi kipato kuna uwezekano mkubwa wa yeye kukuacha. 2. Mwanamke akibahatika kupata...
9 Reactions
17 Replies
3K Views
4 THINGS EVERY MAN MUST KNOW ABOUT A WOMAN BEFORE MARRIAGE 1) THEY LOVE COMPLIMENTS It is wicked for your wife to put effort into her looks, taking care of you (and the kids) and making you...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndoa inajengwa kwenye msingi wa ukweli, uwazi na kuaminiana. Ni jambo jema mke/mume kujua kazi yako, unapofanyia kazi na hata kipato chako, lakini kuna mambo ukiyaweka wazi tatizo litatokea...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Mahusiano n furahaa na amani. Mnamo MWAKA Fulani nikianza mahusiano na BINTI mmoja. Tulipendana sanaa mdawote akitakakuwa na mimi. Mnamo sikufulan niliomba TUKAE nae sehemu Akaombaa atakuwa kwa...
5 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari za muda mrefu wakuu wakazi. Leo ningependa kushare jambo moja muhimu hasa kwa wanaume wenzangu, unajua kumbe sisi vijana wakiume tunapochelewa kuoa au kupata watoto huwa inawakwaza sana...
14 Reactions
37 Replies
5K Views
Back
Top Bottom