Huyu dada ni mzuri kwa sura na umbo, amenyimwa akili hilo ndilo ambalo limeutesa moyo wangu sana, kufanya mapenzi direct connection na mwanamke ambaye hana akili ni sawa tu na kupata ngoma kwake...
Amini hili nakwambia
Kwa mliooa kwa mnaotarajia kuoa usiwekeze sanaa kwenye mapenzi mke mume awe ni kwa ajili ya matimizi ya kidunia kama vitabu vinavyosema
Undeni familia zaen watoto ila...
Wadau inakuaje asee? I hope mko yechu yaani haina gweraa...Acha niende direct kwenye issue mezani...
Juzi kati hapa kunae iyo pisi Kali niliialika maskani ghetoni ndichi,pisi ni Kali laana iko...
Hey MMU users! Nafikiria wale new couples kwenye relationship huwa wanakuwa na changamoto gani kwenye kuanza family mpya na kuzoeana kuwa kweli wife and husband...
Mapenzi hua sijui yananoga...
Wakuu habari. Dada angu tunashare mama amekua ananiomba sana pesa sio kwamba sipendi but imekua too much sana. Akiwa hana pesa ya vikoba sijui michezo yao wanajua wenyewe lazima anichek nitampa...
Nitawasalimu baadaye,
Kuna jambo moja huwa mnanishangaza nalo ndugu zangu wapendwa wa jinsia Me,
Naombeni mnisaidie Leo, huwa kwenye akili zenu mnafikiria nini pale unakuta mkaka anaenda ku...
The 7 Signs That Shows That A Girl Likes You
Sometimes a woman likes the signs that you are things she intentionally does and other times they are subconscious. Whether she means to or not, if you...
Habari zenu bros & sisters
Harmony sex doll, ni mdoli wa uwezo wajuu kabisa uliotengenezwa kwaajili ya kufanya mapenzi.
Huu ndio mdoli wa kwanza wa mapenzi kutekenezwa kwa teknolojia ya juu...
Wakuu habari zenu, jamani niko kwenye mahusiano lakini ikitokea sijamtafuta nae anakausha, kapiga kimya mbaka sasa nakaribia mwezi sasa, hivi napendwa kweli? [emoji1784][emoji1784][emoji1784]...
Mtoto wa kike kwanza msafi, rangi muruaaa, figure la katuni za Masoud, wezere hiyoo, nyonga kama nyigu, anaongea kama anataka kukata roho, anavoniheshimu thatha, hujaona mwendo wake ni balaa...
Mahusiano wakati mwingine huwa yananogeshwa na vitu vidogo jamani msi complicate sana. Kwa mfano una girlfriend alafu eti hata hujawahi kumuita "baby". Wewe kila siku unamwita kwa jina lake mara...
Wadau nimeona mahusiano mengi/ndoa nyingi husambaratika kuvunjika mara baada tu ya kupata watoto wawili au zaidi? Na Mara nyingi wazazi wa upande wa kikeni hung'ang'ania watoto ambapo ki uhalisia...
Twende straight kidogo, tuokoe mda.
Kiufupi nimemtongoza mfanyakazi wangu wa hapa dukani ninapouza vifaa vya ujenzi, yeye ndio anashughulikia mahesabu ya mauzo baada ya hapo ananiletea mimi...
Kwanza niseme wazi kabisa hakuna urafiki wa mashaka kama wa mwanamke mzuri na mkaka rijali. Asikudanganye mtu ndugu yangu, sisi wanaume tunachotaka kwa mwanamke ni kimoja tu na wala hakuna...
Je, unakumbuka ulivyopiga mahesabu na ukaona kila ukijumlisha 2 + 2 inakuja 3 na sio 4? Ukakimbilia kwa ndugu jamaa na marafiki na wao wakashindwa kupata jibu. Ukabaki mkiwa huna la kufanya...
Habari JF,
Tukiwa tunamalizia malizia wiki la wanawake duniani hebu wanawake wa JF tiririkeni kituko ulichofanya leba ulipokuwa na uchungu.
Aisee ile kitu achana nayo uchungu ulipozidi sana...
Raha ya mwanamke useme asikie na sio mnajibizana. Mwanamke ukitaka umkamate mwanaume mpe heshima yake, mwanamke mbishi na mjeuri huwa afiki mbali na mwanaume anayejitambua mwenye akili zake...
Kati ya viumbe vinavyopitia maswaibu duniani ni wanawake kuliko viumbe vingine.
Mizigo wanayoibeba ni mikubwa sana na inaonesha ni jinsi gani walivyo unique/tofauti na wa kipekee katika dunia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.