Wanawake mtupe mwongozo wa mambo ambayo tukiwafanyia kamwe hamtoweza chepuka

yuzazifu

JF-Expert Member
Oct 6, 2018
5,109
9,407
Natumai hamjambo wakuu.

Wanaume tunaumia sana tukijua/kuhisi kua wake zetu/wenza wamechepuka, maumivu haya kwetu sisi ni zaidi ya msiba coz hutufanya tufikirie labda hatujiwezi au hatuna thamani tena kwa wenza wetu.

Tafadhali nawaombeni sana kupitia uzi huu mtupatie mwongozo wa mambo yoote ambayo tukiwafanyia kamwe hamtoweza kuchepuka.
 
natumai hamjambo wakuu.

wanaume tunaumia sana tukijua/kuhisi kua wake zetu/wenza wamechepuka, maumivu haya kwetu sisi ni zaidi ya msiba coz hutufanya tufikirie labda hatujiwezi au hatuna thamani tena kwa wenza wetu...

tafadhali nawaombeni sana kupitia uzi huu mtupatie mwongozo wa mambo yoote ambayo tukiwafanyia kamwe hamtoweza kuchepuka.
Wape PESA TU
Nasema tena Toa PESA
Mwaga MPUNGA
Usisubiri kuombwa
Honga sana Mkuu

achana na mbwembwe za kitandani utavunja kiuno
 
mkuu we ni waifu matirio kabisa alafu unaikataa jinsia yako kisa hutaki tupa mwongozo, ujue tumeamua kutafuta suluhu ya jambo hili kwa kuwashirikisha hivo ushiriki wenu ni muhimu sana.
Aiseee
 
WACHEPUKAJI 6:5-8,inasema,je hamjui ya kuwa dawa ya mwanamke kuacha kuchepuka ni KIFO?basi sasa nawasihi mabaharia msijisumbue kuwalinda wake zenu maana kadiri ile unavyonyandua mke wa mtu ndivyo na wako wanamnyandua wako.....#obheja
duh
 
Hii ni kama unajaribu kufanya udanganyifu kwenye mtihani (necta), pambana tu usitake upewe majibu (posibo)... usipigane hadi kung’ata ukishindwa pambano bora ukimbie.
 
Back
Top Bottom