Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habarini wadau, Jamani dada zetu au wanawake siku hizi wamebadilika sana wengi wao wanawaza kupata mwanamme wa kumtimizia mahitaji yake haswa ya kimaisha. Wao wanawaza kupendeza na kuvaa vizuri...
5 Reactions
81 Replies
7K Views
Habarini wanajamvi. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 20 naishi kwa wazazi. Mimi ni kijana ambaye mcheshi na mwenye aibu katika masuala mazima ya mapenzi lakini hapo hapo m ni kijana ambaye...
4 Reactions
45 Replies
46K Views
DADA SHTUKA UMRI UNAKUTUPA MKONO Tupo kwenye mwendokasi tunatoka magomeni kuelekea k/koo gerezani. Pembeni yangu kuna dada anajitahidi kuongea kwa sauti ya chini na utulivu, ilhali kwa muonekano...
19 Reactions
60 Replies
5K Views
Habari Wakuu ! Mimi ni kijana niliyezaliwa awamu ya uongozi wa Hayati Benjamin Mkapa, nimebahatika kusoma elimu ya msingi, upili na kuhitimisha elimu ya juu awamu ya John Magufuli. Kabla ya...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Wazee wa logic naomba tukae pembeni kidogo. Hii siku imeanza kwa kuvurugwa na hotuba ya Rais, na mimi naona bora niendelee kuivuruga kama kichwa cha habari kinavosema hapo juu. Ni kuhusiana na...
13 Reactions
63 Replies
14K Views
Wakuu sina mengi ya kusema hakika inauma sana ,maumivu yake moyoni hayaelezeki . Siwezi kuelezea ..amesema amepata mwanaume mwingine zaidi yangu Nimemuuliza tatizo nini anasema hakuna tatzo...
10 Reactions
117 Replies
11K Views
Hakuna mahali salama kama moyoni, anayekuweka moyoni amekuthamini sana, kutokana na moyo kuwa nyumba iliyojengwa na MUUMBA. Ila ukiiweka nafsini au kwenye incha ya ulimi ni rahisi kuwa mhanga wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wasalaaam! Sifa na utukufu kwa muumba wa mbingu na nchi, wote tuseme Amen! Kwa wenye changamoto hajatuacha yuko nasi jana, leo na kesho. Wakuu huu ni mrejesho kutoka kwenye thread yangu...
17 Reactions
43 Replies
5K Views
Habari za wakati huu great thinkers; Niende moja kwa moja kwenye mada. Huwa najiuliza sana hivi ni sababu gani inaweza kumfanya mtu ampige mke/mpenzi wake? ( nimesema mke maana kwenye jamii zetu...
18 Reactions
755 Replies
58K Views
Pale mahali patamu ila si salama, wiki juzi nilienda massage basi shetani akaniingia kwa mdada yule, sababu nina rapid test za HIV nikaona isiwe shida nikampima mdada, ikawa ok nikala tunda...
14 Reactions
102 Replies
14K Views
Niko na mpenzi wangu takribani huu mwaka wa pili ninampenda sana kutoka moyoni nyumbani Kwao wananifahamu na sisi kwetu wanamfahamu ni msichana ambae nilijipanga mwakani nioe tuanze nae maisha...
2 Reactions
45 Replies
8K Views
Naamini wanaume wa JF ni sample inawakilisha jamii huko mitaani. Wanaume kwanini mnakuwa wachoyo? Watoto wa wanaume wenzenu mnawanyanyapaa lakini wenu mnataka wapendwe why? Nimefanya kauchunguzi...
6 Reactions
38 Replies
4K Views
Uchumba ni kivuli cha ndoa wana saikolojia mambo unayoyaona kipindi cha uchumba ukiingia kwenye ndoa utayakuta mengine makubwa zaidi ukiona mchumba wako Ana Tabia zifuatazo tambua ukioa au kuolewa...
14 Reactions
69 Replies
10K Views
Kiukweli naenjoy sana kuwa na mwanamke wa Single mother na amenipita mwaka 1 tuu. Kwa mara ya kwanza niliteseka sana kuwa naye, kwatu walikuwa wakinicheka sana. Mara ooh mwanamke mkubwa, mara...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Nimeona mahala kuna mtu analia lia mchumba wake waliyepanga kuoana mwezi wa 12 kuna mtu anamtafunia na mbaya zaidi wamezaa mtoto na huyo manzi. The truth is; Cheating is the most disrepectful...
13 Reactions
13 Replies
3K Views
Mara nyingi kabla hatujaoa huwa tunafikiria kuhusu maisha ya ndoa yatakavyokua baada ya kuoa/kuolewa. Huwa tunajinadi kama wagombea ubunge katika majimbo yao. Ahadi kama vile "Mi nikishaoa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimekutana na aliyekua Mpenzi Wangu pande za Kimara yupo kwa dada yake, ana kichanga cha miezi mi 4 na katoswa na aliyemzalisha. Kwakua tulikua naye vizuri tulijikuta wote tukihitaji tugegedane...
3 Reactions
69 Replies
8K Views
Yaani Hii Kauli ilinikatisha tamaa kabisa. "USIMUOE ANAKUZIDI UMRI" Nilitokea kumpenda msichana mmoja hivi alikuwa amenizidi kiumri kama miaka 5 hivi. Alikuwa mwanafunzi wa chuo enzi hizo. Sasa...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
world up, hope mko fit as usually ama nini! kuna wale raia sijui wana akili gani, sijuhi wanahisi sie wanaume tumeumbwaje aani yaani kitu chochote kitacho happen utaskia "jikaze kiume" oyah haa...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
NI wiki nyingine tulivu kabisa tunakutana kupitia safu hii nikiamini umzima na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku kama kawaida. Mimi mzima na naendelea vizuri katika kutimiza majukumu...
1 Reactions
52 Replies
7K Views
Back
Top Bottom