Ni sahihi X wako kukuomba pesa?

Ni sahihi X wako kukuomba pesa?

snayper

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
302
Reaction score
218
Habari za muda huu,

Naomba kuuliza hii imekaaje X-Girlfriend wako kukueleza shida zake na kukuomba omba pesa wakati alikuacha mwenyewe. Je, ni sahihi kumtumia pesa huyu X wako aliyekuacha mwenyewe?

Karibuni
 
mnaanzaje kua na mawasiliano na x wenu??
 
kama alikuacha hiyo ni dalili ya kujirudisha, huenda alikokua hajakva alichotarajia.
 
Huyo anataka kurudiana na wewe, Kama mliachana atakuharibia mahusiano yako mpotezee..yaani ushindwe kumuhudumia mpenzi wako uanze kuhudumia ex🤔🤔
 
Back
Top Bottom