Mke wa Mtu Sumu: Wivu wamfanya jamaa amuuwe mwenzake kwa kutumia kisu

pwilo

JF-Expert Member
May 27, 2015
10,098
12,469
Wakuu habari zenu,

Poleni na majukumu ya mihangaiko ya kila siku bila kupoteza muda niende kwenye mada husika.

Usiku wa kuamkia leo kumetokea tukio la kusikitisha maeneo ya Mbagala Rangi Tatu (Kimbangulile) karibu na mbagala kanisani nyuma kidogo ya kiwanda cha Rasta Cha DARLING ambapo jamaa mmoja, amemuuwa mtu anayedhaniwa kuwa ndo sababu ya kutengana na aliyekuwa mke wake kwa kumchoma na kisu mpaka umauti kumfika na kumjeruhi aliyekuwa mke wake. Baada ya tukio mtuhumiwa alikimbia bila kukamatwa licha ya mwanamke huyo kupiga kelele kuwa "wanauwana huku ndani naombeni msaada" lakini hakuna mwananchi aliyejitokeza na mtuhumiwa kufanikiwa kukimbia eneo la tukio baada ya kumuuwa mwanaume huyo aliyekuwa wamelala na mwanamke huyo huku mwanamke akijeruhiwa na kukimbizwa hospital.

Inasemakana muuwaji alikuwa amemuowa mwanamke mke huyo Ila walitengana baada ya mwanamke kutokuwa mwaminifu kwake na kudai alikuwa anachepuka baada ya ugomvi mwanamke akadai talaka. Sasa aliyekuwa mume wake alipata hasira baada ya kupata taarifa kuwa mwanamke huyo ameolewa na jamaa mwingine ambaye ni wa karibu na wanafahamiana Jambo amabalo mwanaume alihisi walikuwa wanachepuka tangu yupo naye kwenye ndoa na mwanaume huyo alifikia hatua hiyo baada ya uchunguzi wa mda mrefu na hatimae kufanya tukio Hilo lilokusanya watu kutoka maeneo mbali mbali ya mbagala ila maiti ameshaondolewa na mwanamke bado anapatiwa matibabu kwa majeraha aliyo yapata

Wakuu tuweni makini na hawa viumbe kabla ya kuamua kuishi naye kama mke na mume maaana inasemakana mwanamke ndo alidai talaka japo mwanaume alikuwa anampenda sana mwanamke huyo kumbe kuna msela kamdatisha leo hii jamaa hatunaye tena na muuwaji na mwanamke mwisho wao sio mzuri maana vyombo vya Sheria vitalishughulikia Hilo swala na adhabu itatolewa kwa mwenye hatia.
 
Hivi wanawake walivyo wengi wanini kukomaa na mwanamke mmoja
 
Tatizo la kuanzia mapenzi uzeeni. Mi ukidai talaka nakupa na navuta chombo kali zaid yako!
 
Hata kama ndio unatuhabarisha, habari yako imekosa mpangilio, haina vituo! Andika vizuri bana!!
 
Una muda gani ndani ya ndoa mkuu?
Achana na swala la muda kwny ndoa, mimi nilizaa na manzi nikamsomesha na kumgharamia mahitaji yote ya chuo.

Nikalima kwao ekari 11 nikawaambia wanihifazie mavuno ghalani mpaka bei ichangamke. Mwishowe nikaambiwa yameibiwa...

Mwisho yule mwanamke alipata play boy flan akanambia tuachane na hata sikumuuliza maswali yeyote. Nilimpa jibu la sawa baada ya 24hrs na sikudai chochote wala lolote na nina amani na furaha.
 
Sasa mkuu kwa hii situation yako uliyoelezea unadhani kuna nini cha zaidi ungeweza fanya zaidi ya kuchapa lapa na kukaa kimya? Huo ni kama msaada tu ulitoa hauna shukrani wala risiti.

Jiulize ingekuwa ni mke wako wa ndoa huyo kihalali je mambo yangeishia hapo hapo kama ilivyopita hiyo? Halafu pole sana hiyo kitu imekujeruhi kihasi hisia zako ndio maana ukatoa ile reply ya awali vile. Ila amini ipo siku utapenda tena sana tu na utasahau yote hayo.
 
Kumuua mwanaume mwenzako kisa kamchukua demu(mke) wako ni udhaifu tu na inaonyesha hakustahili kuwa wako..

Achana na demu vuta demu mwingine..Wee vipi bhana!!
 
Back
Top Bottom