Hii imekaaje

Hii imekaaje

kitalembwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2014
Posts
8,266
Reaction score
22,055
Habarini za majukumu wana MMU!

Mimi ni member wa JF napenda sana hili jukwaa ila sijawahi kupost chochote.

Kwanza kabisa mimi ni mwanafunzi wa chuo fulani hapa mjini, nimepanga chumba kimoja, naishi peke yangu.

kuna rafiki yangu wa siku nyingi kidogo alikua mkoa akaniomba aje mjini kushughulikia mambo yake ndo arudi, bila hiyana nlimkubalia!
kimbembe kikaanza.

1.Alisema atakaa siku mbili tatu lakini wiki tatu zimepita haelekei kurudi kwao siku za usoni

2.Hiki ndicho kilichonifanya niandike huu uzi, alitokea kumtongoza dada mmoja hivi, alimkubalia! Juzi kati alikuja nae ghetto na kuondoka!
kasheshe ikaanza, mimi huwa natoka asubuhi kwenda kwenye katempo niliomba sehemu (sasa tumefunga chuo), namuacha asubuhi amelala!
Sasa jana alimleta huyo mpenzi wake wakapika, wakala baada ya hapo jamaa alitaka kugegeda, huyo dada alionyesha ushirikiano wote (maandalizi), wakavuana ile tu anataka kuanza dada akapiga kelele sitaki! majiran wakakimbilia na kumsitiri huyo dada!

Tafsiri sahihi kwa majirani walidhan jamaa alitaka kubaka!

a.jamaa kanidhalilisha sana kwa sabab anaefahamika hapa ni mim na sio yeye!

b. ananitia hasara tu nampa kila kitu hata soda anagongea!

c.kuingiza mwanamke ndani kwangu na kutaka kuvunja amri ya sita bila kunihusisha!
Naombeni ushauri wakuu nimtimue? au nimweleze bayana?

Samahan kwa uandishi usiokua mzuri pia mtiririko wa mawazo sio mzuri sana ila nimeeleweka!
 
I can understand you having issues with him overstaying his welcome but not the second point. Majirani walivyokuja kumsitiri huyo dada si walimkuta yeyena mshikaji ama? Na hivyo vya kubanjuana kwenye ghetto la watu hivi bado vipo hadi miaka hii, duh!!??? Au kwani nyie mna umri gani if you do not mind me asking?
 
Mwambie ulikuwa mgeni wangu kwa siku tatu sasa naona wiki tatu zimekatika naomba uondoke au tafuta sehemu nyingine ya kuishi.
 
Unamuonea aibu ama? Acha unafiki wewe hapa ndio wazungu wanatushinda..give him black n white straight away!

Na kwa upuuzi wake anaweza kasirika..tell him ur feelings usijiumize hadi uje Jf kuomba support! Kick him out
 
Mwambie ulikuwa mgeni wangu kwa siku tatu sasa naona wiki tatu zimekatika naomba uondoke au tafuta sehemu nyingine ya kuishi.

asante mkuu kwa ushauri
 
Ukishindwa kumueleza ukweli, hama kimya kimya..Maana tayari una roho ya huruma na unaogopa milima haikutani
^^
 
Mwambie ulikuwa mgeni wangu kwa siku tatu sasa naona wiki tatu zimekatika naomba uondoke au tafuta sehemu nyingine ya kuishi.
nashukuru mkuu kwa ushauri
 
Ukishindwa kumueleza ukweli, hama kimya kimya..Maana tayari una roho ya huruma na unaogopa milima haikutani
^^

mkuu asante ila natafuta njia ambayo mim sitaonekana mmbaya
 
mwambie baba/mama mwenye nyumba amefadhaishwa na kitendo cha kugegeda form six....hivyo katoa notice uondoke ili kunusuru mimi kufukuzwa hapa
Muulize shem tatizo lilikuwa nini...Huenda bado BIKRAAAAA....haaaaa WIVU
 
Mwambie mwenye nyumba kakupa notisi kwa sababu ya tukio lake so arudi home hatakiwi hapo tena.
 
Kama umeshindwa kumwambia basi walau muoneshe hii sredi aisome...
 
Teh teh me siwezi nikaishi roho juujuu kama nmekunywa supu ya kitenesi....wakati chumba ni changu.Ningemsikilizia kama wiki then ningemwambia aangalie ustaarabu wake coz style ya huyo jamaa ukimwambia umepewa notice utahama nae.
 
Moyo unadunda kama kitenesi.....! Hahaha umenimumbusha kudundadunda kitenesi.
 
Ndio tatizo la sisi wabongo hatuna kanuni. Siku tatu inaweza kuwa miezi mitatu. Bora lawama kuliko fedheha, mtimue mara moja.
 
Hutaki uonekane mbaya wakati huyo jamaa yako anakufanya uonekane mbaya?
Mtimue
 
kitalembwa,

Sijakuelewa, unaposema kuwa ".... dada alionyesha ushirikiano, wakavua nk." ulikuwepo au nimaelezo toka kwa rafiki yako? Maana kama ulikuweoo, sijaelewa kwanini kuwepo kwa faragha ya mwenzako(ingawa ni chumba chako) lakini kama hukuwepo na maneno hayo ni maneno ya rafikiyo sidhani kama ni husara sana kuyaamini maana tayari uliamibi angekaa kwako siku tatu na sasa wewe unajua amekaa muda gani.

Mueleze wazi kuwa huhitaji kumuona (no matter how generous you were, hapo ndipo mwisho wako), hii tabia ya kujiumiza kichwa hivi huku unajua kabisa hachangii chochote na hajawa hata 'responsible' kidogo kuonyesha utu kuwa "nilisema siku tatu lakini kuna vitu kadhaa havijakamilika naomba niwepo kwa siku chache mf. 4 ndipo niondoke iwapo utaridhia".

Kwa maisha ya Mjini(kama ulivyosema), si rahisi kumhifadhi mtu kwa muda wote huo hasa kwa mtu ambaye ndiyo 'anaanza maisha'.

Finally, mueleze kabisa huhitaji kumuona baada ya siku kadhaa hayo mahitaji unayompatia kila siku ni bora umpatie hela ya nauli arudi alikotoka, akitaka kuendelea kukaa 'mjini' basi aitumie hiyo hela ya nauli uliyompa kujua ataishije, otherwise asije kwako...lakini akiondoka tu badilisha vitasa mkuu.
 
Last edited by a moderator:
wema usizidi uwezo..siku 3 alizoomba tayari zimeisha mwambie atembee zake.
 
asante kwa ushauri mkuu!
mimi sikuepo hayo maelezo n yake pia na majiran walipa baadh ya tarifa ndipo nkapata picha halisi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom