Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mimi ni kijana wa miaka 30s. Ni muda sasa nmekuwa nikivutiwa na wanawake watu wazima yaani wa kuanzia 40-60. Napomwona mwanamke mtu mzima wa namna hiyo najawa na hamu kubwa ya kumgegeda. Nawaza...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Wakuu mwanzoni kwa mwaka huu nilienda kutafuta kibarua cha kijishkiza ili siku ziende huku tukisubili kama t unaweza kubahatika kufanya shughuri tulizosomea niilifika kwenye kampuni moja kubwa...
3 Reactions
60 Replies
5K Views
Kuna hii mentality kwamba mademu wengi wanapenda pesa. Ila mi nimekuwa nikipata shida sana kuelewa hichi kitu. Nilitaka kujua kwa wanawake ili useme jamaa yangu ana pesa ni kwamba anatakiwa awe...
3 Reactions
117 Replies
9K Views
Nimewahi kuwasikia Wanawake wengi sana tena wengine wakiwa ni wakubwa tu na wenye hadhi zao wakisema kuwa wanapenda mno kuwa na Mahusiano na Wanaume wanaopenda kuvuta sana Bangi / Puje / Jani /...
1 Reactions
47 Replies
13K Views
Kwa wale ndugu zangu ambao tumekulia maisha ya village. Tunatambua kuwa mambo ya utaratibu wa ndoa wala hayachukui muda. Unaanza kutafuta tu mchumba then ukishampenda wazazi pande zote mbili wana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natumai hamjambo wakuu. Katika hali ya kawaida ni ngumu sana kijana wa kiume kumtongoza mke wa kaka/ndugu yake coz lazima ahofie ikiwa atakataliwa na mhusika akajua italeta taharuki kubwa...
2 Reactions
48 Replies
7K Views
Mwanaume hakikisha unafika nyumbani kwako angalau kuanzia saa moja na nusu kwenda juu lakini usichelewe sana. Kimsingi mwanaume aliyeoa anatakiwa kuwa nyumbani kati ya saa moja na nusu na saa tatu...
35 Reactions
148 Replies
15K Views
Hello! natumaini ni wazima, hongereni kwa majukumu ya kujenga Taifa letu. Moja kwa moja kwenye point, naitaji mchumba ambaye Mungu akipendezwa tuingie kwenye ndoa. Wasifu wangu: Mwanaume:umri...
0 Reactions
5 Replies
976 Views
Yani Tanzania tumeendelea sana upande wa mapenzi na mahusiano. Kiufupi sijui ni nani alituambukiza. Ni kama vile tumetumwa kwa ajili ya mapenzi. Yaani bongo mtu awe mtoto awe kijana mapenzi...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
nawasalimu Hali hii ya baridi inanifanya nizidi kujisikia mpweke. Toka mwaka umeanza nimetongoza wasichana 11 lakini wote wamenikataa. sitaki kutongoza tena saivi naanza kununua malaya. uzuri...
7 Reactions
129 Replies
20K Views
Salaam wana jukwaa, Nijambo zuri kama tukiwa na jamii ya watu wenye furaha na kati ya vitu vinawakosesha furaha wanawake wengi zama hizi ni kutoolewa. Sasa katika "jitihada za kumsaka" mume kuna...
12 Reactions
41 Replies
4K Views
Sikuhizi watu wanaoana kwa Fashion bila kutumia fikra , binadamu sisi ni mbegu , hauwezi ukapanda mbegu ya Tunda chungu utegemee upate Tunda lenye ladha. Fanya tafiti kwanza ya ukoo wa mke au...
4 Reactions
4 Replies
972 Views
Dear Mama wa kambo, Tokea uje kwetu maisha yetu yamekuwa mabaya kwa maana umekuwa unatunyanyasa unatufanyia visa juzi mdogo wangu umempiga na ufagio mpaka akazimia alipozinduka kwa juhudi zetu...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Unakuta umemtongoza manzi au hata umemuoneshea ukaribu wa kimahusiano halafu unakuta anakwambia "mimi dada yako unajua" hii sentensi huwaga wanamanisha nini? Leo mjibu hapa nyie jinsia ya KE...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Jamani leo niko wilaya ya Kilosa nimepanga nyumba nzima ya peke yangu hapa Kilosa mjini mtaa wa Uhindini. Sasa maji yanatoka nje hapa kwangu usiku huu na kuna wanawake wawili wanachota maji kwa...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
road to 2018................... Hatuna budi kumshukuru M/Mungu kwa kudra zake tunapoelekea kuufunga mwaka na kuukaribisha mwaka mpya.... naambiwa vyuma vimelainika:(:( Niende kwenye mada moja kwa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wasalaamu JF, na wana MMU,,,,,happy56indepence Back to the topic, Mnamo mwaka 2010-2012, kuna shule moja hivi (boarding) ipo mkoani morogoro nilisoma masomo ya A-level, hiyo shule ni boys tu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni dhahiri kuwa watu wamekulia katika mazingira tofauti na malezi yao yanapelekea utofauti Kuwepo katika tabia zao. Katika mapenzi binafsi nadhani wadada wa kishua watakuwa na utofauti mkubwa...
4 Reactions
95 Replies
8K Views
Habari wana MMU. Nina rafiki yangu wa karibu sana ambaye ni ME! sasa huyu jamaa ana mpenzi wake! wamedumu katika mapenzi takribani mwaka mmoja na nusu. Nikiri penzi lao limekua na misukosuko...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Hivi hali kama hii iliwai kuwatokea? Siku ya kwanza naonana na huyu bidada mwenye umbo no.8, mwili ulisisimka sana. Nilmpiga kama bao 3, nimelala naye mara kwa mara, cha ajabu sasa hivi nipo naye...
8 Reactions
58 Replies
5K Views
Back
Top Bottom