Sibebi pochi lako. Yamemtoka maneno mengi sana

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
10,087
15,961
Baada ya mimi kukataa kumbebea mkoba wake kama wengne wafanyavyo yamemtoka maneno mazito hadi ya wewe kama unanitumia niambie.

Sasa najiuliza maneno yote yametokea wap jameni

Anyway, mimi na wewe tuwe wapenzi tuu ila mambo ya namna hiyo sifanyi. Mimi ni mwanaume wa Dar nakubali ila siwezi fanya hivo

Uzi tayar.

Tukio hili limetokea asubuh hii
 
kama mna mtoto mdogo mnaenda kliniki pamoja msaidie kubeba pochi yeye akiwa amembeba mtoto.

ila kama hakuna sababu ya kuibeba hiyo pochi mwambie akupe pesa zake umuwekee kwenye wallet yako ili aache hiyo pochi nyumbani.

Soon atakuletea sare ya kitenge mvae naye sare-sare 🤣 🤣 🤣
 
kama mna mtoto mdogo mnaenda kliniki pamoja msaidie kubeba pochi yeye akiwa amembeba mtoto.

ila kama hakuna sababu ya kuibeba hiyo pochi mwambie akupe pesa zake umuwekee kwenye wallet yako ili aache hiyo pochi nyumbani.

Soon atakuletea sare ya kitenge mvae naye sare-sare
Hahaaa aisee na hapo ndio mpaka kuosha viomba na kudeki kunaanza na yeye kakaa anakuangalia.
 
Akikua ataacha...

Halafu kuna mambo hayalazimishwi mazingira tu yatasababishwa "asaidiwe" ila "sio lazima"
 
Mkuu hujui kupiga vile vichwa vya ulipo tupo..?
Ungekung'uta kichwa ya namna hiyo ungesikia "we baba mi sitaki ukorofi wako"😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom