Ni hatua gani za kuchukua pindi unapoona yule umpendaye atakuacha au atavunja mahusiano?

Mboka man

JF-Expert Member
Aug 22, 2020
478
1,638
1. Anzisha mahusiano mapya kimya kimya ili uweze balance hisia na moyo wako kujiweka sawa na mwingine.

2. Punguza mawasialiano ili kutengeneza mazingira ya kuanza kuzoea bila yeye unaweza.

3. Anza kuzungumza na watu wako wa karibu kuhusu Hali ya uhusiano wako ulivyofikia hatua mbaya.

4. Anza kufanya maombi au anza kushiriki kwenda kwenye maombi katika nyumba za Ibada hii itakusaidia kukupa Amani ya moyoni.

5. Anza kujianda kisaikolojia huyo sio wangu tena kapata mwingine hivyo Urusu moyo wako aende huko aendako.

6. Anza kujiona wewe ni wa Thamani na huyo mtu akiondoka atajutaaa.

Haya endeleeni na mengine
 
Hizo hatua zote futa!.. hatua ni moja tu unakimbilia kwa mganga kabla hajakiwahi..😂
 
Mi mbaka na machale utadhani (Mwanga)..😂😂 yote kusahau uwepo wake.
 
1. Anzisha mahusiano mapya kimya kimya ili uweze balance hisia na moyo wako kujiweka sawa na mwingine.

2. Punguza mawasialiano ili kutengeneza mazingira ya kuanza kuzoea bila yeye unaweza.

3. Anza kuzungumza na watu wako wa karibu kuhusu Hali ya uhusiano wako ulivyofikia hatua mbaya.

4. Anza kufanya maombi au anza kushiriki kwenda kwenye maombi katika nyumba za Ibada hii itakusaidia kukupa Amani ya moyoni.

5. Anza kujianda kisaikolojia huyo sio wangu tena kapata mwingine hivyo Urusu moyo wako aende huko aendako.

6. Anza kujiona wewe ni wa Thamani na huyo mtu akiondoka atajutaaa.

Haya endeleeni na mengine
Mimi nilidate binti mmoja baadaye nikgundua hatuendani, nikamwambia tuachane akagoma na kubembeleza sana mimi nikashikilia msimamo ule ule. Aliponiambia sasa tuachane na ameshapata mpenzi mpya, Niliumia sijapata kuona! Kuacha na kuachwa hakujawahi kumwacha mtu salama.
 
Hahahaaaaaa
 
Huoni kwamba ukizeeka kuna hati hati ukawa mchawi?
 
Mapenzi sio theory na huwa hawashauri.
Likikukuta utajua hapo hapo.
 
1. Anzisha mahusiano mapya kimya kimya ili uweze balance hisia na moyo wako kujiweka sawa na mwingine.

2. Punguza mawasialiano ili kutengeneza mazingira ya kuanza kuzoea bila yeye unaweza.

3. Anza kuzungumza na watu wako wa karibu kuhusu Hali ya uhusiano wako ulivyofikia hatua mbaya.

4. Anza kufanya maombi au anza kushiriki kwenda kwenye maombi katika nyumba za Ibada hii itakusaidia kukupa Amani ya moyoni.

5. Anza kujianda kisaikolojia huyo sio wangu tena kapata mwingine hivyo Urusu moyo wako aende huko aendako.

6. Anza kujiona wewe ni wa Thamani na huyo mtu akiondoka atajutaaa.

Haya endeleeni na mengine
Olu in olu unatakiwa ukiona hivyo basi uanze kumuacha wewe kabla yeye hajakuacha. Amini usiamini hata kama mtu alipanga kukuacha, ukianza kumuacha wewe atalia sana na kubembeleza msiachane. Ukikubali tu mkarudiana, muda si muda anakupiga chini yeye.
 
Back
Top Bottom