kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 3,018
- 7,677
Hellow JF, natumai mko poa,
Tukumbushane kama ulishawahi kuwa na mahusiano na mtu aliyekuzidi umri, elimu, kipato n.k, watoto wa mjini wanasema ngekewa.
Mimi historia yangu ipo hivi! Mwaka 2012 nilibahatika kujiunga chuo flani hapa DSM kusoma shahada, semista ya kwanza nilikua natokea nyumbani, sasa hapo mitaa ya nyumbani kuna duka moja hivi la nyumbani nilikua nasaidia kuuza mara moja moja jioni! (nikitoka chuo na weekend)
Sasa kwa kipindi nilichokua pale dukani nikawa namuona mdada(mteja) kila siku jioni akishuka anachukua vocha au maji ya kunywa anaaga anaenda kwao! Tukawa tumezoeana, hata siku nyingine akiwa hana hela ndogo anachukua anachohitaji alafu kesho yake ananilipa! Mazoea yakaaanza kuzidi siku ambazo ananikuta nipo dukani na kaka anaomba nimsindikize, na mimi bila hiyana nikawa namsindikiza.
Kusema ukweli alikua mdada mzuri wa umbo na sura, kwa kumkadiria alikua na 30-35 na mimi nilikua kwenye early 20s! Kwenye maongezi nikagundua alikua third year chuo flani hapa Dar, pia alikua mfanyakazi wa taasisi fulani alikua anajiendeleza kimasomo! kwa kifupi story zangu na zake zilikua za kawaida tu! Tuliendelea hadi ikafika hatua nikamjua vyema kumbe alikua single mother(alitelekezwa na mzazi mwenzie kwa mujibu wa maelezo yake), kwa maana hiyo hakua ameolewa.
Mazoea yakashika kasi hadi wakati mwingine weekend alikua anaweza kuniomba nimnunilie baadhi ya mahitaji mfano nyama n.k namtuma boda boda then akirudi anampa hela yangu ananiletea. Akawa anaipenda sana care yangu kwake. Alipokua anaishi alikuwa na mama mzazi, mwanae na dada wa kazi kwa hiyo ilikua vigumu kwenda kwake.
Nilipoingia semista ya pili akanisihi kwanini nisipange chumba changu? Nilisikiliza ushauri wake nikapata chumba karibu na chuo! Kumbuka hapa tunawasiliana kama mtu na mdogo wake! Lahaula, siku akaniambia wkend nakuja kushinda kwako. nkamwambia poa, siku akaja kweli, nilimkaribisha nikaacha mlango wazi(pazia lilikuwepo) yy akajiropokea funga bwana.
Nilishangaa alikua huru sana pale ndani alijiachia, nikafuata chips na soda. Baada ya kula akafungua pochi kumbe alibeba st Anna tukanywa huku tunacheki movie. Sikumbuki kilichotokea ila we had sex! Aisee mtu mzima akiamua kukuzawadia tunda huwa anaachia kwa moyo mmoja! Tulifanya tukalala kuamka tukafanya tena, ilivyofika mida ya saa mbili akaaga akaenda kwao huo ukawa ndio mchezo wetu, ananitoa out analipa bills n.k Geto anakuja kama kawaida! Ilifika hatua hadi akaanza kuwa na wivu bahati nzuri gf wangu alikua mkoani kimasomo.
Kukatisha story huyu dada hakua mpenzi tu bali mshauri wa karibu sana na alikua akinisapoti kiuchumi japo sio sana. Nilichogundua hawa single mothers wana upendo sana, kwasababu wengi wao walishaumizwa. Huyu dada alinipita kwa kila kitu (elimu, kichumi pia kiumri) alihamishwa kikazi mkoani mwaka 2015, ukaribu ukaanza kupungua (distance r/ship) ila bado tunawasiliana na kusaidiana mfano kuazimana hela n.k, hadi sasa akija Dar lazima anitafute tule tunda.
Heko single moms wote!
Waliopitia matukio kama haya karibuni tushee uzoefu na changamoto zake.
Naweza kuwa sio msimuliaji mzuri lakini nina imani nimeeleweka kiasi.