Itifaki imezingatiwa,
Nisiwachoshe, niende moja kwa moja kwenye mada. Rafiki yangu wa karibu amekua mzito wa kuoa kwa madai kwamba alishajiwekea dhamira ya kuoa bikra, huu ni mwaka wa 5 bado...
Habari za leo. Awali niliwahi kuandika uzi kuelezea dalili zinazojitokeza ili kujua kama unatumika kwenye uhusiano.
Baada ya kukaa na kuangalia uhusiano ulionao, na kuona zile dalili unaweza...
Heshima kwenu wadau
Hivi ni sababu ipi kuu ambayo inasababisha wanaume kununua dada poa?
Je, ni kukwepa mizinga ya mara kwa mara toka kwa mpenzi wa kudumu, kukata tamaa ya mahusiano ya kudumu...
Huyu binti kamaliza kidato cha sita mwaka jana. Now yupo chuo flani hapa DSM. Napata naye usumbufu ambao binafsi huwa siupendi.
Tumekuwa tukikutana na kutomasana tomasana tu hanipi K.anadai yeye...
Hakuna kitu kinarudisha nyuma kama umeamua kumuacha mwanamke au demu wako lakini yeye anakung'ang'ania, niwakumbushe tu Mwanaume akishasema tuachane jua amekutoa moyoni mwake haupo tena, hivyo...
Kila kukichwa ninavyozidi kuwaona mademu wakali na wa kumelemeta ndivyo spirit yangu ya kutafuta pesa inavyoongezeka licha ya kuwachakata daily lakini bado ninauitaji wa kutafuta pesa kila siku...
Habari wakuu,
Leo nimepata aibu ya mwaka baharia,,baada ya mwanamke nisiyemfahamu kunifananisha na mwanaume aliyemgegeda usiku kucha na kumkimbia bila kumlipia.
Nipo maeneo fulani ,,nikitafakari...
Kwanza nitangulize pongezi shukrani kwa wanawake wote waliokubali kujitolea nafsi zao kufanya kazi hii maana kwa kwa kifupi wanatusaidia sana sie madomo nzege
Ijulikane kua seheme yeyote ile ata...
Hivi ukiacha hela hakuna ambacho mwanaume anaweza kukitumia kuiteka akili ya mwanaume katika dunia ya leo na Vilevile ukiacha sex hakuna anachoweza kukitumia mwanamke kuiteka akili ya mwanaume...
Katika wanaume ambao wanajiamini sana duniani juu ya uaminifu wa wake zao Mimi ni mmoja wapo.
Naamini mke wangu hajawahi kunichit hata siku moja na hizi ni sababu zangu.
1. Nimempeleleza kwa...
Habari wakuu.
Ushawahi kuanzisha mahusiano kupitia mtandao wa kijamii na Yalidumu.
Mimi yapo kama mawili ya Kwanza nilianzisha na mwanamke ambaye nilikutana nae facebook tulianza charting za...
Halaaaa! Yaani kuna siku ilibaki kiduchu tu nibakwe na demu iko bv uyu dada tulikuwa na mahusiano lkn siku zote tukiwa faragha aliniachia uwanja mm ndio niumiliki yaan tukiwa room aliniachia mm...
1. Anakujali, anakupigia simu mara kwa mara na kukuuliza siku yako imeendaje. Anafanya hivi kirafiki na kwa upendo, haigizi. Anakupenda kweli.
2. Anakutembelea mara kwa mara, anakuwa karibu na...
Sio kazi ngumu sana kuelewa mwanamke anaekupenda kiukweli. Mwanamke anaekupenda kweli hawezi kukuomba wewe kitu chochote bali atachohitaji kutoka kwako sana sana ni muda wako na 'attention' yako...
Naitwa smart introvert, nakuja mbele zenu kutafuta rafiki wa kike ambae tutabadilishana mawazo na kujenga urafiki mzuri. Umri wangu miaka 28 na nafanya kazi kampuni moja. Naishi Dar na ni mkristo...
Nimeisoma ilani ya uchaguzi ya CHADEMA kurasa zote. Nimeona kasoro nyingi sana lakini katika jukwaa hili nazungumzia kasoro moja ambayo ina athari katika ndoa.
Ilani ya CHADEMA inakusudia kuweka...
Mara kadhaa kupitia wasaa huu tumezungumza juu ya matumizi ya mtandao na athari zake, chanya na hasi. Leo tunakutanabaishia aina tano kuu za hatari anazoweza kukutana nazo mwanao awapo mitandaoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.