Naweza pata new friends (GF)

zagarinojo

JF-Expert Member
Jul 26, 2020
2,563
2,000
Ila mimi kila siku nakuja hapa.Sijui kwa vile I'm young nobody comments. Sawa lakini kuwa mdogo haijalishi I'm socializing like other people

Nadondosha wasifu kwanza
Age: 19
Marital status: Single
Occupation: Businessman

Haya rafiki huyo au girlfriend awe na sifa zifuatazo
1. Mpole
2. Mcheshi
3. Elimu ata awe na madegree no problem
4. Kwenye umri sijui love is not about ages

Ila nikimpata ajue ndo my first lover or girlfriend. Sijadanganya chochote hapo juu
 
zagarinojo

JF-Expert Member
Jul 26, 2020
2,563
2,000
Mdogo huku sio facebook! Waliyokwambia members hapo juu yatilie maanani!!
Dah!mimi sijawahi tumia Facebook napenda kujifunza niliona JF ni sehemu salamu ya kuexpress your ideas openly ukaeleweka kwa hiyo I'm young Ila sitaki kujifanya mdogo zaidi
 
Emiir

JF-Expert Member
Dec 15, 2013
23,997
2,000
Dah!mimi sijawahi tumia Facebook napenda kujifunza niliona JF ni sehemu salamu ya kuexpress your ideas openly ukaeleweka kwa hiyo I'm young Ila sitaki kujifanya mdogo zaidi
If you are young and in need to learn something, don't act childish! Be matured!!
 
zagarinojo

JF-Expert Member
Jul 26, 2020
2,563
2,000
If you are young and in need to learn something, don't act childish! Be matured!!
But what I didn't notice before is that I'm the youngest person in JF I thought there would any other members of my age but now I'm finding myself alone
So I'll try to cope with the situation
People of my age are still in school
 
Emiir

JF-Expert Member
Dec 15, 2013
23,997
2,000
But what I didn't notice before is that I'm the youngest person in JF I thought there would any other members of my age but now I'm finding myself alone
So I'll try to cope with the situation
People of my age are still in school
Here are some few members younger than you even if I mention them you will not believe, be matured!!
 
Drat

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
683
1,000
Mdogo wangu, humu wote/wengi tunatumia majina ya vificho.
Na hii ni forum ambayo ina 'kautamaduni' kake...mambo social kama hayo na kujiweka mpaka profile ni kama HAYAPO...
Halafu kama unataka mpenzi just cheki na watu halisi sio mtandaoni.

We ni kijana sana hauko busy kiasi cha kukosa muda wa kujichagulia windo lako, jiamini tu.

Pia hayo mambo hayataki haraka na kukurupuka, kwa kuwa uli drop shule at form three, tumia muda kusoma masuala ya biashara humu, na mambo mengine ya maisha...uanze kujenga misingi ya mafanikio ya maisha yako au kuiimarisha.
MUHIMU:UKIMWI BADO UPO
Baada ya hapo tafadhali kama hiyo avatar ni wewe kama ulivyosema ibadilishe.
 
Dah!mniambie kwanini people are not being real here in JF
And leo ndo nimeamini people are hated for being real and liked for being fake
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom