Habari wana JF,
Mimi ni kijana wa kitanzania niliyejitokeza kwenye jukwaa hili nikiamini kuwa upo uwezekano mkubwa wa kukutana na life partner katika jukwaa hili.
Sababu kubwa iliyo nifanya...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,mimi ni kijana above 30yrs, ninafanya kazi hapa hapa Dar, naishi maisha ya standard,yaani nina nyumba na nina gari, natafuta mchumba ambaye baadae baada ya...
Hi there,
I am man from Tanzania, and I am 23years of age, 65kg and 178cm tall. By now am still a student attending my studies at a certain institute at Dar es salaam.
I am a caring, truthful...
Sifa muhimu
1. Awe mweupe hata kama ni kwa mkorogo
2. Awe na kazi halali inayomwingizia kipato
3. Umri miaka 25- 45
4. Kama ameelimika kuanzia diploma mpaka PHD huyo atapewa kipaumbele
Mimi nina...
Umri awe miaka 18-25 awe na hofu ya Mungu.
Asiwe mwembamba
Elimu yoyote
Mimi mrefu mwembamba
Nafanya kazi
Elimu yangu form four but nina ujuzi
Njoo pm
Kama alikuhusu pita kimya usitoe kejeli
I'm a man 33 yrs of age, currently working and living in Dar. I'm looking for a Christian female life mate, living or wiling to live in Dar, preferably employed of age ranging from 26-28. A...
Mimi ni kijana mwanaume mwenye miaka 28, nahitaji msichana kwa ajili ya kufunga ndoa. Umri kati ya 20-28, awe mcha Mungu. Kwa maelezo zaidi tuwasiliane PM.
Dada zangu,kaka zangu na wadau wote wa Jf,naombeni mnisamehe,nimekuwa kihelehele kutafuta wachumba mitandaoni hasa kwa humu sasa nimejifunza.
Naahdi kurudi shule tena,na kamwe sitapost thread...
Hello,
Najitokeza hapa kutafuta mwenza/ mchumba wa kike kwani naamini anapatikana popote pale.
Napenda mwenza huyo awe dini yeyote mwenye kumjua Mungu, awe mkweli na mwenye melango ya maisha...
Sifa za huyo mwanamke awe anapatikana Dar es salaam, awe mkristo na mcha Mungu, miaka kuanzia 23-26.awe ni mtu wa kujishughulisaha either amehajiriwa au amejiajiri.
Imani yangu ni kwamba yupo...
Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 22 natafuta mpenzi mwenye sifa zifuatazo.
1:Jina lake liwe linaanzia na herufi A,hapa kuna akina Asha,Angel,Amina,Anna,Asma,Aneth na wengineo(hii...
Mimi ni msichana
Nna miaka 25,mkristo(RC),mchagga
Nimeajiriwa
Nina umbo la wastani,rangi(maji ya kunde)
Makazi yangu ni dar
Elimu-BA
Nna mtoto mmoja
Sifa:
Awe na umri kati ya 29-35
Awe mkristo
Awe...
Si mara yangu ya kwanza wala ya pili kujitokeza katika jukwaa hili, sijafanikiwa bado natafuta..
Natafuta msichana anayejitambua, awe matured! awe mkweli mcha Mungu wa kweli, awe at least form...
Ni ukwel na sio uongo wana jf.Mimi nina miaka 26 mwanaume kamili..natafuta binti wa miaka 20~28.lakini tuanze kama marafiki kwa mda kadhaa ili tuweze kuzoeana kwa kila hali... pm inahusika
Habari Wana JF,
Natafuta msichana mkristu ambae atakuwa mchumba au mke wangu baadae,awe na shughuli ya kufanya,awe na elimu kuanzia darasa la saba,akiwa mwalimu ni poa zaidi mimi.
Wasifu wangu...
Ni mara yangu ya kwanza kutafuta mrembo aliyetayari kuolewa.
Vigezo;
Asiwe mfanyakazi sehemu yeyote
Maji ya kunde rangi yake
Mwembamba wastani
Asiwe na mtoto
Anayetokea mikoa ya kanda ya Pwani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.