Mimi kijana mwenye miaka 30 nahitaji mpenzi ambaye kama akiqualify vigezo aje awe mke na mama wa watoto wangu.
Awe musilamu
awe angalau anashughuri yoyote inayomuingizia kipato
Hata kama amezaa...
Natafuta rafiki (jinsia yoyote) anayesoma au aliyesoma maswala ya journalism especially utangazaji wa TV/Redio.
Kwa ambaye atakuwa tayari kwa hilo, please send me a message!
I am looking for a woman who is going to be my wife. Age of 22-27 and should be independent. I'll consider mostly those from lake zone except kagera region. I am 29 yrs old.
More details will be...
Habari zenu wapendwa,
Natafuta mwanaume mwenye umri kuanzia miaka 35-40 awe mkristo, najua mtaanza kushangaa umri lakini najua kabisa wapo hapa wanaume wenye umri huo na bado hawajaoa kwasababu...
Kaka yangu anahitaji mke ambaye ni very simple, yaani asiwe mcharuko na mpenda starehe hasa pombe n.k umri wake ni 34years.
Mwanamke yoyote ambaye yupo serious awasiliane naye kwa 0629141421...
Habarini,
Naitwa Innocent(Me),Natafuta rafiki/marafiki wa kubadilishana nae/o mawazo ya kimaisha;awe dereva au kondakta wa magari ya abiria yafanyayo safari ndani ya jiji la Dar es Salaam.Umri...
Nimeamua kujitosa kutafuta Mwanamke mwenye sifa zifuatazo:_
a. elimu angalau kidato cha sita
b.awe anatoka nchi za A/ mashariki
c. awe anaishi USA au UK
d. hanakazi au anakazi - sintojali
e. awe...
Wapendwa nawasalimu kwa jina la Bwana!
Kama heading inavyojieleza hapo juu.
Natafuta mwanamke ambaye ana utayari na maisha ya ndoa. Sifa za mwanamke nimtafutae ni kama zifuatazo:-
1. Awe...
Hello wapendwa,
Poleni na mihangaiko ya kila siku. Nimejitokeza humu kwa mara ya kwanza kabisa. Kifupi natafuta mwanamke ambaye badaye atakuja kuwa mke wangu seriously. Mimi na mwajiriwa na...
Habari wanajamvi,
Ninajitokeza kwenu kutafuta rafiki wa kike ambaye kwa baadae aje awe my wife to be.Niko Lindi umri miaka 26.
Kabila ni Sukuma asiwe mwanachuo na ikiwezekana atokee au awe wa...
Kichwa cha habari kinajieleza,nina umri wa miaka 27,ni mwajiriwa serikalini, kwa umbile ni mrefu maji ya kunde,elimu yangu ni barchelor degree.
Nahtaj binti wa kiislamu wa kufunga nae pingu za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.