Natumaini ya kua hamjambo jioni hii.
Wapendwa katika Bwana leo ni siku ya pili nimekua nikiota ya kua niatapata mke mwema kupitia jukwaa hili. Mimi ni kijana wa kiume miaka 29 mkristo, naomba...
Wakuu asalam aleykum Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Ni muda mrefu hawa watoto wa kinyarwanda wamekua wakichanganya mtima wangu. Yaan nikiwaona roho yangu...
Habari zenu ndugu zangu..nahitaji mtu wa kushauriana ktk masuala ya kutafuta maendeleo iwe biashara ..kilimo au utoaji huduma halali ambayo itatuingizia kipato..mm niko kny age of 40s..ni...
Natafuta mwanamke, sifa:
1. Awe mzuri au mzuri kiasi
2. Asiwe mke au mme wa mtu
3. Awe hajawahi kuolewa au kufanywa mchepuko, kama ana bikira ni added advantage
4. Awe na tabia nzuri
5. Awe...
Binti ambaye upo kiwanja hasa DMV area na upo tayari kwa mahusiano mbayo yatazaa ndoa ni pm. Uwe chini ya miaka 30. Mwislamu au upotayari kuingia uislamu. Mambo mengine tutaongea.
Natafuta mchumba ambaye atakuwa my wife,mimi nina miaka 30 nipo Kinondoni.sifa zake awe mcha mungu,asiwe mvivu pia awe tayari kupima HIV na magonjwa mengine.aliye tayari ani pm namba yake...
Mimi nikiajana na umri wa miaka 28 - 33 jinsia ni mume.
Ni maji ya kunde mrefu wa wastani.
Ni mwanaume wa dar es salaam kama ulivomsemo wenu naishi dar
Nina kazi yangu inayoniingizia kipato cha...
Ladies and gentlemen?
I'm with profound joy indeed taking this wonderful chance inviting you all in my wedding day.
The wedding service will take place at St. Joseph church at 13.30 on 23. April...
Natafuta binti wa kuoa umri 23 - 27, sibagui dini wala kabila awe na elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea, mimi ni mkazi wa Dar na ni mwajiliwa serikalini, umri wangu miaka 29.
Ndioo kama inavyosomeka katika kichwa cha habari.
Aisee kama sio Mchaga usiniPM sitajibu.
Vigezo vingine:
-Awe mkiristu
-Mrefu au wa wastani-kama mfupi usiniPM tafadhali
-Uwe na kazi au...
Habari wana jamvi, Mimi ni msichana wa miaka 28 ,nilijigundua nina maambukizi ya HIV mwaka 2012.. Natafuta mtu ,mwenye hali kama yangu ,ili tuanzishe familia...
Natafuta mchumba mwenye dhamira ya dhati. Jinsia yangu ni mke na umri wangu 35 nina mtoto mmoja. Ninamtafuta mchumba mume awe na umri 38-45 anaye elewa maisha na kupenda akiwa na mtoto mmoja sawa...
Umri miaka 20 hadi 30
Sura yoyote
Umbo lolote
Mbinti au mtaraka/mjane
Elimu : Ajue kusoma na kuandika hadi çhuo kikuu
Awe na nidhamu
Msafi na kujipenda
Dini yoyote
Asiwe na magonjwa ya kuambukiza...
Hi JF,
I salute all beautiful, charming, God-fearing, and understanding ladies in the name of Love!
As my nickname stipulates, Am David, 28years of age, light in skin complexion, moderate...
Umri miaka 25 hadi 28
Elimu Digrii ya kwanza au ya pili
Awe mjasiriamali au mwajiriwa
Awe mkazi wa dar
Awe na upendo wa dhati.
Asiwe na mtoto.
Awe na afya njema awe amepima ukimwi na magonjwa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.