Natafuta mchumba....

john kipepe

Member
Mar 9, 2016
9
1
Ni ukwel na sio uongo wana jf.Mimi nina miaka 26 mwanaume kamili..natafuta binti wa miaka 20~28.lakini tuanze kama marafiki kwa mda kadhaa ili tuweze kuzoeana kwa kila hali... pm inahusika
 
Mkuu mbona huelewek
1: umejiunga JF mwaka huu mwez huu tar 09
2: tar 11 ukatafuta mchumba kuanzia miaka 18-30
Natafuta mchumba
3: mwezi huu tena tareh 13 Ukasema hauna kaz unatafuta kaz na una miaka 22 unaish kigogo

Natafuta kazi
4:kama hyo haitoshi mwez huu tar 14 ukatafuta tena mchumba kuanzia miaka 19-28
I am looking for a girlfriend
5 : leo nako unadai kuwa una miaka 26 swali langu JE? HII ID MNATUMIA UKOO MZIMA au unachukulia JF kama FB
 
Hahahaha....... Sio kwa upelelezi huu
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Hahahaaa eti Id wanatumia familia nzima kweli kazi ipo utfanikiwa mkuuu wasikukatishe tamaaa
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Mkuu mbona huelewek
1: umejiunga JF mwaka huu mwez huu tar 09
2: tar 11 ukatafuta mchumba kuanzia miaka 18-30
Natafuta mchumba
3: mwezi huu tena tareh 13 Ukasema hauna kaz unatafuta kaz na una miaka 22 unaish kigogo

Natafuta kazi
4:kama hyo haitoshi mwez huu tar 14 ukatafuta tena mchumba kuanzia miaka 19-28
I am looking for a girlfriend
5 : leo nako unadai kuwa una miaka 26 swali langu JE? HII ID MNATUMIA UKOO MZIMA au unachukulia JF kama FB

Ha ha ha......@john kipepe kuja hapa.......
 
daaah mwanangu eee huyu mtoto umempa za uso ile mbaya ha ha ha ha. Pamoja sana ma man
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Wachumba hawatafutwi km ajira,tafuta hela kwanza wachumba watajileta wenyewe tu ukiwa na maisha mazuri
 
Mkuu mboHna huelewek
1: umejiunga JF mwaka huu mwez huu tar 09
2: tar 11 ukatafuta mchumba kuanzia miaka 18-30
Natafuta mchumba
3: mwezi huu tena tareh 13 Ukasema hauna kaz unatafuta kaz na una miaka 22 unaish kigogo

Natafuta kazi
4:kama hyo haitoshi mwez huu tar 14 ukatafuta tena mchumba kuanzia miaka 19-28
I am looking for a girlfriend
5 : leo nako unadai kuwa una miaka 26 swali langu JE? HII ID MNATUMIA UKOO MZIMA au unachukulia JF kama FB
kumbe mm role model wako ehee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom