Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Mm naitwa moody kabwe nina umri wa miaka 28 Nahitaji mke wa kuo ila mimi kwa sasa sina kazi niliachishwa kazi kipindi cha kampeni za uchaguzi na bos wangu yeye ni ccm baadala ya mimi kutekeleza...
1 Reactions
58 Replies
7K Views
kwa mara nyingine najitokeza hapa, natafuta rafiki wa kike, awe mkweli, awe mcha Mungu wa ukweli, awe muwazi, napendelea awe mrefu, umri kuanzia miaka 24-27... elimu kuanzia kidato cha sita...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwenye sifa zifuatazo; . Awe na umri kuanzia miaka 30 . Mcheshi . Elimu haijalishi awe na kazi . Kuwa na mtoto haijalishi - Uje PM.. Wasifu wangu: Nina 25 Nina shahada ya kwanza Nina kazi...
12 Reactions
157 Replies
19K Views
Habari wana jf? Nimejitokeza hapa kutafuta mchumba (mke) kwasababu zifuatazo. 1. Umri wa kuoa umefika sina muda wa kusubiri naamini pia Mungu ndiye kanileta hapa. 2. Wadada wengi ninaowapata...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Nina miaka 23..ni mkristo...kwa maelezo zaid ni pm Wanaohitajika. ..umri 26-35
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Salamu wakuu, Natafuta mrembo wa ku chat naye. Anyone interested Inbox me .. Private message Asante
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Hi I am a man aged 23 years old and 178cm tall. I am a Tanzanian. I am a second year bachelor's degree student. Am here looking for any single girl with the equivalent age as stated above on the...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Natafuta girlfriend awe mwanachuo Dar, mimi mwanachuo nina umri wa miaka 24, dini mkristo awe mkristo mwenzangu.
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Ndugu wana JF mie ni kijana wa miaka 28 naishi Dar. Nimemaliza chuo na kuna sehem nafanya kazi. Natafuta mwanamke wa kuoa coz nimechoka kua single for a long time. Natafta mwanamke aliye serious...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
hellow jamaa niko Serious very serious...! napenda nikutane na Mwanamke Mnene kwelii (bonge,tufe) mweusi ninapenda sana mwanmke wa Namna Hiyooo!! please please! nina Miaka 25 mrefu mweusi elimu...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Mi ni kijana wa miaka 22, natafuta msichana anayejielewa na mkristu mcha Mungu ani pm.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hello people, I have this lady friend of mine.She seriously needs someone to hook up with and get into a serious relationship of which marriage is the ultimate goal(Repeat it louder) She is aged...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Ningependa kukutana na wabongo kama mko pande hizi. Just kufahamiana na kula bata.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwanza napenda kumshukuru Mungu kwa uhai na afya. Lakini pia nachukua wasaa huu kuwashukuru wote wanaoifanya jamiiforum kutufanya tupate pa kusemea.Baada ya shukrani zangu hizo sasa niende moja...
1 Reactions
41 Replies
4K Views
Wish to get a true lover, nimekua single n lonely for so long...I think imetosha sasa na umri nao haunisubiri mimi, tatizo linakuja "who!?..mmmh!
2 Reactions
37 Replies
5K Views
Nina umri wa miaka 22 nipo chuo,natafuta rafiki wa kike wakubadilishana nae mawazo umri 18-25.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Rafiki yeyote wa kike anayejihisi kuwa rafiki mzuri anakaribishwa. Any age, nia ni kuchat na kubadilishana mawazo, you are welcome. Ni PM nikupe no zangu.
0 Reactions
1 Replies
992 Views
Kama kichwa kijielezavyo. Mimi ni kijana wa kitanzania nina miaka 23 sasa hivi nipo mwaka wa mwisho chuo kikuu UDSM -undergraduate. Baada ya mama kufariki, nimeishi bila mama hivyo basi natafuta...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Habari wana jamii jf,nahitaji mchumba nipo dar aliyetayali ani pm
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom