Natafuta mke jamani

Natafuta mke jamani

katto14

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2016
Posts
226
Reaction score
62
Mimi ni kijana wa miaka 30 nimeajilriwa natafuta msichana wa kuoa anayejielewa awe na miaka 20-28, awe na shughuli inayomwingizia kipato.

Aliye tayari tuwasiliane pm.
 
'
 
Unatafuta mke wa nini? Funguka zaidi?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]awe na shughuriiii ya kumuingizia kipato.

Acha uvivu brah mwanamke akae ndan ww tafuta
 
Aah shangaa we mkuu. Ujishughulishe, ukirudi nyumbani umfulie, umpikie, unyonyeshe na bado kitandani anataka ushughulike. Kuweni na huruma jamani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom