Natafuta mke Niko seriously

BACHELA

Member
Mar 11, 2013
26
1
Mimi ni kijana nina umri wa miaka 29 nahitaji mwanamke wa kuanzia miaka 20-25 dini yoyote rangi yeyote awe mrefu na asiwe mwembamba Sana anipende kwa dhati. Elimu kuanzia kidato cha nne na awe WA kujituma Kama vipi ambaye anavigezo nicheki.
 
Mkuu mimi Nawashangaa nyie mnaotafuta wake mitandaoni
Mfano mimi binafsi ikifika Muda WA KUOA na Sina mwanamke ambaye Nina mahusiano naye na hivyo inanilazimu kutafuta mke basi nitafanya kazi moja rahisi na kwenda zangu Kanisani na angalia Watoto.. Asee sikufich Kanisani hukosi chombo cha ukweli na advantage kubwa unayo pata ni kwamba unapunguza migogoro ya tofauti za kidini Ila pia unaweza umbahatisha mwenye hofu na MUNGU maana sio wote wanaoenda kusali wana Nia kweli ya kumtafuta MUNGU.. The same applies hata Kwenye misikitini kutegemea na dini yako.. Kwanini uhangaike humu jf. Bahati mbaya ni ngumu ku match
 
Mkuu usichokijua ni kwamba hao wa kanisani ndio wako humu pia. Mke mtakutana naye popote
 
Pia kuna njia mbadala unatafuta ambaye naye anatafuta humu humu mnaliunga pa1, wala hupotezi nguvu nyingi
 
Mbona we hujaweka vigezo vyako elimu, rangi, mrefu mfupi, mnene mwembamba, tukuelewe vipi sasa!!

Tupia fasta hivyo vigezo kuna mtoto mkali hapa anataka mume
 
yupo hapa kadada kamoja ila kananiuliza eti wewe ni meneja wa ofisi gani???
 
Mimi ni kijana nina umri wa miaka 29 nahitaji mwanamke wa kuanzia miaka 20-25 dini yoyote rangi yeyote awe mrefu na asiwe mwembamba Sana anipende kwa dhati. Elimu kuanzia kidato cha nne na awe WA kujituma Kama vipi ambaye anavigezo nicheki.
Picha yako tafadhali.
 
Mkuu mimi Nawashangaa nyie mnaotafuta wake mitandaoni
Mfano mimi binafsi ikifika Muda WA KUOA na Sina mwanamke ambaye Nina mahusiano naye na hivyo inanilazimu kutafuta mke basi nitafanya kazi moja rahisi na kwenda zangu Kanisani na angalia Watoto.. Asee sikufich Kanisani hukosi chombo cha ukweli na advantage kubwa unayo pata ni kwamba unapunguza migogoro ya tofauti za kidini Ila pia unaweza umbahatisha mwenye hofu na MUNGU maana sio wote wanaoenda kusali wana Nia kweli ya kumtafuta MUNGU.. The same applies hata Kwenye misikitini kutegemea na dini yako.. Kwanini uhangaike humu jf. Bahati mbaya ni ngumu ku match
Uko sahihi kabisa mkuu!!!.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom