Mwenye upendo wa kweli awe mke

Bahati lucky

Member
Jan 22, 2017
16
13
Ni mgeni sana katika mtandao huu maarufu, nimejitokeza leo nami nitupe huku karata yangu kutafuta mke wa kuoa, na hii ni baada ya kuona jamaa zangu kama watatu wamefanikiwa kupitia JF, umri wangu miaka 35 mtumishi wa serikali.

Sifa zake:
Awe mcha MUNGU
Awe na umri kuanzia miaka 20 -30
Dini yoyote

Nawasirisha!
 
watu huwapenda watu ambao wana sifa ambazo wao hawana

vicheche huwapenda waliotulia

wafupi huwapenda warefu

waovu huwapenda wacha mungu

mkuu..!
angalia usije ukaondoka na Bibi kifimbo cheza wa humu ndani.
 
Ni mgeni sana ktk mtandao huu maarufu, nimejitokeza leo nami ntupe huku karata yangu kutafuta mke wa kuoa, na hii ni baada ya kuona jamaa zangu kama watatu wamefanikiwa kupitia Jf, umri wangu miaka 35 mtumishi wa serikali.

Sifa zake:
Awe mcha MUNGU
Awe na umri kuanzia miaka 20 -30
Dini yoyote

Nawasirisha!!!!!
Mi nikupe namba za mdada ambaye ni mstaarabu ila ana miaka 26 xx na amesomea nursing lakini bado hajaajirwa ni mweupeee
 
Masharti yetu na RRONDO ni kuwa member awe ana zaidi ya mwaka (miaka miwili kwa RRONDO) ili kumfikiria. [HASHTAG]#vigezo[/HASHTAG]

By the way, si usubirie tangazo langu nawe u apply??!
Nimeona nikiendelea kusubiri hilo tangazo lako nitazeeka aisee!! Kwahiyo nabanana hapa hapa hadi kieleweke.
Alafu nyie si mlisema id ndio mpya ila member wa kale!!
 
Kila la Kheri mkuu maana wanawake waliyomo humu ni walewale waliyoko mtaani

Kwa Neema na Rehema za mwenyezi MUNGU ombi lako litafanikiwa na kuweza kupata hitaji lako
Tena mtaani una nafasi ya kuona mabaya yao ubakie moyo wako tu kufanya maamuzi, hapa nyuma ya key board ni mazuri tu utayaona.
 
Ni mgeni sana ktk mtandao huu maarufu, nimejitokeza leo nami ntupe huku karata yangu kutafuta mke wa kuoa, na hii ni baada ya kuona jamaa zangu kama watatu wamefanikiwa kupitia Jf, umri wangu miaka 35 mtumishi wa serikali.

Sifa zake:
Awe mcha MUNGU
Awe na umri kuanzia miaka 20 -30
Dini yoyote

Nawasirisha!!!!!
Safi sana vigezo viko poa sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom