beach gani??? una sh ngapi???
Nipo dar na Natamani kwenda beach kesho..anaehitaji let's go and have fun
Awe cool na mstaarabu
Nasubiri kesho lutwa, utuletee mrejesho.....Am a girl..Nipo dar na Natamani kwenda beach kesho..anaehitaji let's go and have fun
Awe cool na mstaarabu
Cost ni juu yako Swry!
OK asanteUtawakuta watu huko usijali lupeee
nakula tu ubuyuNakuona