Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Nimefikia uamuzi wa kutafuta binti mwenye shida ya kuolewa. Mimi nahitaji nioe na naamini jf nitapata atakayetamani kuishi na mimi. Nimesoma ndio maana nategemea kupata aliyepita shule. Mtaani ni...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari za mda huu wana JF? Najitokeza hapa nikiwa na dhamira ya kutafuta rafiki wa kike/mpenzi, ambaye tutaoana na kuwa mke na mume. Mimi ni mwajiriwa wa serikali, elimu yangu ni ya Chuo kikuu...
2 Reactions
48 Replies
6K Views
Natafuta Mke mwenye maadili mema, mwenye tabia ya upole ,uvumilivu uaminifu na upendo wa dhati kwa mume. Awe na umri kuanzia miaka 25-38 kabila lolote.umri wangu miaka 40 , aliyetayari ani pm.
4 Reactions
61 Replies
7K Views
Mimi ni mwanaume, sijaoa. Umri miaka 29. Natafuta mwanamke wa kuchat nae na kubadilishana mawazo. Kama upo ni pm
2 Reactions
61 Replies
5K Views
Am a man turning 24years old later in this year. I am still a student at a certain institute here in Tanzania. And I think it is the right time for me to find the right woman to whom, we shall...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu? Natumai mko poa sana. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Ni kwambia nimependa kuwashirikisha katika hili jambo la kutafuta mwanamke humu ndani ambaye atakuwa...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Habarini za Jioni wanna if! Hope wote mkoa poa. Nisiwachoshe kama heading inavyosomeka kulingana na mipango yangu niliyo nayo siku za usoni ninatafuta female friends with ze following...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Natafuta aliye tayari kuolewa ila siwezi kukuoa leo, lazima nikufahamu zaidi na wewe unifahamu. Baada ya kila mtu kuridhika ndio tupange mikakati ya harusi. Kiukweli mimi nina miaka 25 ila kwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari za asubuhi wana MMU... jukwaa pendwa kabisa naimani wote ni wazima kabisa napenda niende kwenye mada moja kwa moja Tangu mwaka uanze nimetongoza mara 4 lakini zote nimeishia kupigwa za...
5 Reactions
96 Replies
8K Views
Hodi wanaJF, Trending news ni Makonda na vita thidi ya madawa ya kulevya, naunga mkono mapambano hayo, lakini naendelea na ratiba yangu ambayo leo ndio siku yangu rasmi ya kutangaza nia ya...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
#Respect to ALL JF Members# #More Respect to ALL JF Ladies......Married and Unmarried Ladies, Single Moms and Single Ladies# The intention of this thread to tell you that I am looking for a...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari za kutwa wana jf . Natafuta mwanamke wa kuanza nae mahusiano ya kimapenzi. Kwa mimi binafsi nimejiajili na ninge penda na yeye akawa ameajiriwa au amejiajili pia sio mbaya akiwa anasoma...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za leo wana JF Najitokeza mbele yenu ili kuweka wazi yaliyo moyoni mwangu. Sifa zangu ni kama ifuatavyo:- - Umri miaka 43 - Elimu ya chuo kikuu - Mkristo aliyeokoka - Nina watoto 3 ambao...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Jamani leo na mimi nijaribu bahati yangu humu jukwaani, labda naweza vua samaki kwenye shamba la miwa, upweke huu! Mh! Kwa mlio zoea matusi na kejeli wala sivihitaji, mpite mkinyata kimya kimya...
1 Reactions
124 Replies
12K Views
Nilikuja hapa jukwaani kutafuta mchumba, nawashukuru wote mlioonyesha ushirikiano nami kwa namna yoyote ile. Pia napenda niwashukuru wote mlioniletea kejeli na matusi yote. Asanteni sana...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
  • Closed
Topic closed
3 Reactions
56 Replies
4K Views
Umri wangu 32, dini muislam, elimu yangu shahada ya uzamiri, mimi ni mrefu. Nahitaji mchumba awe muislam mwenye kuitii dini, elimu awe na shahada kama ana kazi isiwe ya kwenda night. Asiwe mnene...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Mimi nina miaka 27, muislam, nina bachelor degree natafuta mwanamke mwenye mapenzi ya kweli na yuko tayari kuolewa na awe na sifa zifuatazo awe muislam awe na umri wa miaka 18-30 awe anaishi...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi ni mwanaume wa miaka 30 natafuta msichana wa kuishi nae kama mke wangu hapo baadae awe na miaka 20 mpaka 26. Aliye serious tuwasiliane awe na shughuli ya kufanya.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Let us have funny #YOLO[emoji1][emoji1][emoji1][emoji132][emoji131]
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom