Natafuta mke wa kuoa ambaye ni docta

Matokeo1

JF-Expert Member
Oct 10, 2012
231
42
Za leo wana JF,

Natafuta mke wa kuoa ambae ni daktari, awe mkristo, umri kwangu sio kigezo, na awe mcha Mungu, umri wangu ni miaka 32 na elimu yangu ni degree holder, nipo serious mwenye nia ani PM.
 
Za leo wana JF natafuta mke wa kuoa ambae ni daktari, awe mkristo, umri kwangu sio kigezo, na awe mcha Mungu, umri wangu ni miaka 32 na elimu yangu ni degree holder, nipo serious mwenye nia ani PM
Weka namba yako ya simu.
 
hana shida mkuu wangu, mshtue shangazi aje inbox tu kikubwa ni maelewano, umri sio tatizo kaka, kikubwa ni mkristo na awe mcha Mungu tu
 
hana shida mkuu wangu, mshtue shangazi aje inbox tu kikubwa ni maelewano, umri sio tatizo kaka, kikubwa ni mkristo na awe mcha Mungu tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom