Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Seriously natafuta rafiki wa kike bila kujali dini, elimu, kabila nk So mdada uliye single tutafutane.
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamvi...!!! Mimi ni mvulana rijali kabisa na nimekuja mbele yenu wanajamvi kwa ajili ya kutafuta mpenzi simple kabisa na mwenye vigezo vifuatavyo..; 1:Awe na miaka 18 na...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Mimi ni mwanamke wa miaka 29 nimeamua kuja jukwaani kutoa hitaji langu la moyo, kwa yeyote mwenye mapenzi ya dhati karibu sana, nipo mkoa wa Mwanza, ningefurahi kama ningepata mwanaume wa Mwanza...
11 Reactions
96 Replies
11K Views
Wasalaam wanajf! Kumekuwa na wimbi kubwa la watu kutafuta marafiki,wachumba na wenza mitandaoni kila kukicha. Hivyo ni vyema tukakumbushana mambo mbalimbali yanayojitokeza kabla,wakati na baada ya...
9 Reactions
32 Replies
9K Views
Ivi ni sahihi au sio sahihi wana ndoa kupeana salamu ya shikamoo?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naitwa Dayana natafuta mchumba baadae awe mume nitamjaIi na kumheshimu awe mkristo mkatoliki nina miaka 24. Aliyetayari caII me 0629837251 thank you
5 Reactions
45 Replies
5K Views
Umri wangu miaka 26, elimu yangu kidato cha nne sina mtoto wala sijawai olewa, dini ni kristo kitu ninachokipenda napenda kupika na kucheza mziki situmii kilevi chochote.Mwanaume ninaemuhitaji awe...
16 Reactions
136 Replies
12K Views
Kwa rehema za Manani natanguliza amani Moyo upo mashakani macho yapo gizani Si lakuvunda wala la ubani kwake taabani Kwa penzi lake la thati moyo upo rehani Nikupendae ni ww wengine hawana...
1 Reactions
3 Replies
786 Views
Habari wana JF, Mimi ni mvulana mwenye maambukizi ya VVU. Nahitaji mwanamke mwenye VVU ambaye atakuwa mke. Sichagui dini wala kabila. Umri kuanzia miaka 27 mpaka 35. Nipo serious jamani. Sihitaji...
6 Reactions
48 Replies
12K Views
mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 32 ,dini muislamu ni mwajiriwa wa serikali kada ya Elimu, nafanya kazi halmashauri ya jiji la mwanza, natafuta mwanamke aliye serious kuolewa na kuwa...
1 Reactions
33 Replies
2K Views
Mimi ni mwanaume wa miaka 30, elimu yangu ni bachelor degree, mimi nipo Mpanda ndipo ninapofanya kazi. Nahitaji mwanamke wa kuzaa nae, kigezo cha mwanamke awe angalau na diploma au zaidi, mwanamke...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Sometimes in life all you need is peace and love actual most times you need someone to care about you make you feel special make u relax one person you can share your thoughts without being judged...
11 Reactions
37 Replies
3K Views
Habari wanajf... Mimi ni kijana bora...mwenye ucheshi na ustaarabu.. Nahitaji rafiki wa kike wa kuwa na mawasiliano nae...hata ikiwezekana kwa mapenzi ya mungu tuweze hata kuwa wapenzi . 1:UMRI...
1 Reactions
68 Replies
4K Views
Mimi Ayub Muyo, nahitaji mchumba mwenye umri kati ya miaka 19 hadi 31, atakayejali familia ile nini, ivaaje kwa kushirikiana na mimi. Na tutawajali ndugu wa pande zote, Mimi naabudu BWANA MUNGU...
2 Reactions
40 Replies
3K Views
Habari za Muda huu wapendwa, Mchumba wa kiume aambaye yupo tayari kuingia katika maisha ya ndoa anaitajika. Vigezo : miaka 30 mpka 36awe tayari kucheck afya, awe mkristo awe na kazi...
0 Reactions
3 Replies
793 Views
Ni kijana mwenye miaka 29 mfanyakazi private school as a teacher natafuta mchumba age between 22-25 awe na hofu ya Mungu na mweupe. Nawasilisha
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Salaam nyote, Kama title inavyojieleza. Miaka yangu ni 34, elimu yangu ni Advanced Degrees, nimeajiriwa. Makazi yangu ya kudumu ni Dar, ila kwa sasa naishi South Korea (contract assignment)...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari wanajamvi, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 ni muajiriwa serikalini, natafuta mke mwenye umri kuanzia 18-28 elimu kuanzia kidato cha nne. Tuwasiliane kwa email; mbwana26@gmail.com au PM
0 Reactions
2 Replies
917 Views
Habari wapendwa, Tafadhali yule kaka aliyekuwa anahitaji mwenza mwenye tatizo kama lake la kutoweza kumpa ujauzito naomba anitafute kama bado ajampata huyo mwanamke.
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Habar za jioni marafiki, naomba mtu yoyote ambaye yupo Kigali anisaidie kunipa kampani ili nipajue vizur kigali. Nitakuja kwa matembezi tu ya siku moja maana bajeti ni ndogo sana.
0 Reactions
1 Replies
918 Views
Back
Top Bottom