Ambaye yupo Kigali Rwanda, naomba anipe kampani

Msigazi Mkulu

JF-Expert Member
Dec 22, 2013
4,110
3,269
Habar za jioni marafiki, naomba mtu yoyote ambaye yupo Kigali anisaidie kunipa kampani ili nipajue vizur kigali. Nitakuja kwa matembezi tu ya siku moja maana bajeti ni ndogo sana.
 
Back
Top Bottom