Hawaki
JF-Expert Member
- Mar 29, 2017
- 757
- 1,055
Salaam nyote,
Kama title inavyojieleza. Miaka yangu ni 34, elimu yangu ni Advanced Degrees, nimeajiriwa. Makazi yangu ya kudumu ni Dar, ila kwa sasa naishi South Korea (contract assignment).
Nimtakae: Awe attractive na elimu walau kidato cha 6 na kuendelea, awe ameajiriwa au amejiajiri mwenyewe (formal economic activity). Umri ni kati ya 25-35. Aifahamu dini yake kiasi cha kutosha. Kwa aliyesomea taaluma za afya atapewa kipaumbele. (Wa kutoka "Jazira"wana kipaumbele maalum).
Nasisitiza awe na tabia njema zitakazoweza kuthibitika even na jamii inayomzunguka. Ukijiona unafit, tukutane PM na PM zenye pic nitazipa upendeleo wa kuzijibu haraka kwani inaonyesha namna alivyo serious, tayari na kujiamini. Hata hivyo PM zote zitajibiwa.
Plz, if you are not serious you better find your way out.