Natafuta mchumba

thank you
kuwa makini na uchaguaji wako mana nina uhakika hadi saivi ushapigiwa simu na wanaume zaidi ya 9
utafiti unasema hivi, "KATI YA WANAUME 13 WANAOWEZA KUMTONGOZA MWANAMKE 1, WAWILI TU KATI YAO NDO ANA MALENGO NAE, NA MMOJA KATI YA HAO WAWILI WENYE MALENGO NAYE NDIYE MWENYE NIA YA DHATI YA KUTAKA HATA KUOA"
kuwa mwangalifu!
nb: madomo zege 88% huwa na upendo wa kweli kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom