Natafuta mpenzi

The Eclipse

Member
Apr 21, 2017
12
11
Habari zenu wanajamvi...!!!

Mimi ni mvulana rijali kabisa na nimekuja mbele yenu wanajamvi kwa ajili ya kutafuta mpenzi simple kabisa na mwenye vigezo vifuatavyo..;

1:Awe na miaka 18 na kuendelea.
2:Kabila yoyote ile.
3:Awe anajua kusoma na kuandika.
4:Dini yoyote ile.
5:Awe na mapenzi ya dhati na anayejua
nini maana ya mapenz na nini maana ya
Kuwa na mwanaume.

Elimu yangu niya chuo kikuu,nimeajiliwa na pia nimejiajili.

Umri wangu ni miaka 30.

Napatikana mwanza na kwa yoyote aliyotayari kuanza safari hii ya matumaini na mimi ani pm.

Asanteni sana na karibuni sana.

Nawasilisha.
 
Ivi 18yrs wewe wa 30 unajifunza nini au unatafuta nini usomuwacha akasoma,sema kuanzia 25 usiwaharibu watoto wawenzio....
 
Mwanaume rijali hatafuti mpenzi mitandaoni.Huez mpata mwenye mapenz ya dhati mitandaoni kwani hakujui na humjui.mapenzi sio kama nyama unayoikuta buchani tayar imeandaliwa kwaajili ya kupikwa na kuliwa,mapenz ni kama maua,yanakua na kustawi taratibu huku yakipewa matunzo yote kama maji,palizi n.k.Kama una akili utakuwa umeelewa

Acha kumkatisha tamaa atapata tuu
 
UtaMpata tu, lengo lako tunalijua...

Nakushauri weka na bank statement yako, Miss Chagga fasta utamuona PM
 
miaka 18 ndio kwanza yupo form 4 mpaka 21 atakuwa anamaliza advance level
we 30yrs unataka 18yrs huu ni unyanyasaji wa kijinsia mkuu
 
Mwanaume rijali hatafuti mpenzi mitandaoni.Huez mpata mwenye mapenz ya dhati mitandaoni kwani hakujui na humjui.mapenzi sio kama nyama unayoikuta buchani tayar imeandaliwa kwaajili ya kupikwa na kuliwa,mapenz ni kama maua,yanakua na kustawi taratibu huku yakipewa matunzo yote kama maji,palizi n.k.Kama una akili utakuwa umeelewa

Si kweli,
 
Habari zenu wanajamvi...!!!

Mimi ni mvulana rijali kabisa na nimekuja mbele yenu wanajamvi kwa ajili ya kutafuta mpenzi simple kabisa na mwenye vigezo vifuatavyo..;

1:Awe na miaka 18 na kuendelea.
2:Kabila yoyote ile.
3:Awe anajua kusoma na kuandika.
4:Dini yoyote ile.
5:Awe na mapenzi ya dhati na anayejua
nini maana ya mapenz na nini maana ya
Kuwa na mwanaume.

Elimu yangu niya chuo kikuu,nimeajiliwa na pia nimejiajili.

Umri wangu ni miaka 30.

Napatikana mwanza na kwa yoyote aliyotayari kuanza safari hii ya matumaini na mimi ani pm.

Asanteni sana na karibuni sana.

Nawasilisha.
yaani kujiunga na kujiunga unasaka mpenzi ungetulia uangalie tu wangekutongoza wenyewe cha msingi uweke avatar nzuri ya kuvutia halafu comments zako ziwe za kimatwi ya juu hahaha fasta unapata
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom