Kijana wangu anatafuta Mchumba...

Aadilu

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
645
463
Mimi Ayub Muyo, nahitaji mchumba mwenye umri kati ya miaka 19 hadi 31, atakayejali familia ile nini, ivaaje kwa kushirikiana na mimi. Na tutawajali ndugu wa pande zote, Mimi naabudu BWANA MUNGU WA ISRAELI, SDA CHURCH. Vitu ambavyo sili soma walawi Sura ya 11 yote. Sifa zingine na picha nimeziweka kwenye facebook account yangu. Km unadhani tutakubaliana piga 0753682968 kwa mawasiliano
 
Checking...100%
Searching...100%
Downloading...100%

Network connected !
Near by Uporoto Mbeya.
 
Mimi Ayub Muyo, nahitaji mchumba mwenye umri kati ya miaka 19 hadi 31, atakayejali familia ile nini, ivaaje kwa kushirikiana na mimi. Na tutawajali ndugu wa pande zote, Mimi naabudu BWANA MUNGU WA ISRAELI, SDA CHURCH. Vitu ambavyo sili soma walawi Sura ya 11 yote. Sifa zingine na picha nimeziweka kwenye facebook account yangu. Km unadhani tutakubaliana piga 0753682968 kwa mawasiliano
Heading inaonekana baba anamtaftia kijana ila maelezo yanaonekana baba ndo kijana mwenyewe
 
huyu jamaa ni mjanja kinoma, wanasema ganda halisadifu yaliyomo, lazma usome, lazma ucheke
 
Imagine umewakimbia wachumba mtaani kwako, kanisani/msikitini unapoabudu, kazini kwako etc harafu unafika huku unakutana na watu walewale . Imagine unaanza kuchat na mtu na siku ukiomba picha unakuta ni kale kabinti mtaani kwako. What would you do? Keep searching?.

Tafuteni wachumba live hukohuko mlipo. Trust me it will work out just fine kama una nia ya dhati ya kuoa/kuolewa.
 
Utakuwa una roho mbaya au domo zege .
Kote huko kanisani au kwenye makongamano ya wasabato umekosa wadada wazuri ndo utawapata humu mitandaoni.
Tanzania sasa ni mwendo wa kick tu
 
Back
Top Bottom