Natafuta mchumba aje kuwa mke baadae

Pitia pitia thread zinazotafuta mume malizaneni pm, vitu vingine ni kujiongeza mkuu sio lazima utangaze
 
mkuu huku wapo... usivunjike moyo ila watakufata pm...
NB: wengi hawatafuti mume bali wanatafuta help wa kuwatoa kimaisha!!!
 
Hili domo zege

Siamini kama ni hivyo mkuu, kuna watu humu jf wamewavua nguo sana wanawake kuanzia shule ya msingi, mtaani, sekondari, chuo na mpaka kazini ila shida nini?

Inapofika muda Wa kuoa wanahitaji wanawake wazuri sana kupindukia mfano mwanake mweupe, mrefu, mwenye miguu minene kidogo ya kuvalia sketi na mwenye pelvis ilivofunikwa na muscles za kutosha.

Wanawake wa aina hii wapo mitaani na Wanajitambua kuwa ni wazuri hivyo nao wamejiwekea vigezo vya wanaume wanao wataka. ukweli vigezo vyao vikubwa ni uwezo Wa kiuchumi na si pesa ya mboga tu kama zetu.

Mfano mimi nimeshawahi kumiliki wanawake Wa hivyo, nilikuwa sidumu nao sana napolwa na wenye pesa zao mfano wakati niko chuo frani kuna dem nilipolwa na ticha wangu nilipomuuliza yule dem kwanini alifanya hivyo demu alinichana live kuwa kwangu anaridhika na love nayomopa lakini sina uwezo Wa kumlipia kalo na kumbadilishia Simu anazohitaji. Akaniomba kama kweli nampenda niwe mpole awe anachuma kwa ticha alafu tunatumbua wote nami nikakubali, nilikubali kuwa na Shea na ticha wangu tena kwa gharama zake.

kwakifupi wanawake wazuri wengi wanaangalia maslahi hivyo kwa level za vijana wengi waajiliwa Wa halmashauri inakuwa ngumu kuwapata ndio watu wengine tunajaribu humu jf bila kujua wanawake wengi wanaotafuta wanaume humu jf kama kweli ni wazuri basi wanatafuta wanaume wenyeuwezo mkubwa wa pesa, huwezi ukawa mwanamke mzuri eti ukose mwanaume wakawaida wa kukuoa huko mtaani otherwise you are a black woman
 
mkuu huku wapo... usivunjike moyo ila watakufata pm...
NB: wengi hawatafuti mume bali wanatafuta help wa kuwatoa kimaisha!!!


Nikweli mkuu, mfano mimi niliweka bandiko langu la kutafuta mke humu jf nawala bandiko langua halina vigezo vikubwa kiivyo lakini hakuna niliyempata mpaka sasa.
Nazani tatizo linawezakuwa mimi kujitambulisha kuwa niko Geita ilihali wanaoingia humu jf wengi wako Dar, wachache Mza na Arusha sasa wanawake wakipiga hesabu waje Geita washike jembe hesabu zinawagomea.

Kwakifupi nakuunga mkono wanawake wengi wanaotafuta wanaume humu jf wengi wapo kimaslahi zaidi.

Mimi nikonatafuta namna ya kuondoa tangazo langua niendelee kupambana huku huku mtaani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom