Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Mimi ni kijana wa miaka 30 nimeajiliwa serikalini natafuta msichana kuishi nae mungu akijaalia awe mke Wangu umri kuanzia miaka 20 mpaka 26 awe na shughuli yoyote halali alive serious tuwasiliane...
1 Reactions
78 Replies
11K Views
  • Closed
Habari zenu, Natafuta mwanaume ambaye anaweza kuwa mume. Sifa zake; Muislam mwenye hofu ya Mungu Miaka 28-35 Elimu degree (yoyote) au mwenye future na maisha yake(mfanya biashara)au Mkulima,nau...
10 Reactions
43 Replies
7K Views
natafuta mwanaume ambaye mwenyezi mungu akijaalia aje kuwa mume na baba wa watoto wangu,mimi nina miaka 30,nina fanya kazi kwa mtu binafsi,nina kipato cha kawaida sana ila namshukuru mungu,nina...
8 Reactions
96 Replies
8K Views
Naitwa morice naishi dar Natafuta mume wakunioa awe msomi na mwenyewe hofu ya mungu
12 Reactions
67 Replies
16K Views
Wanabodi salaam.Jaman natafuta msichana mrembo ,mwenye mvuto ili awe mke wangu.Mimi ni mrefu ,maji ya kunde na nafanya kazi serikalini.Kwa sasa nina umri wa miaka 35.Kwa ninayemtaka awe mrefu...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mimi ni mwanaume wa miaka 31 natafuta mke wa kuoa nimechoka kuwa mpweke msichana awe na umri wa miaka 23 mpaka 26. Aliye interested tuwasiliane pm, please kama hii post haikuhusu ipotezee tu.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
MKE MWEMA NI HUYU. Mcha Mungu, Mvumilivu, Mstahimilivu uliyeokoka na kumkiri Mungu kwa kumaanisha na siyo kumkiri kwa mdomo tu wakati moyoni hakuna Mungu, (Hiki ni kigezo muhimu zaidi)...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Habarini wadau, Mimi ni kijana wa miaka 32, ila nina watoto watatu kwa mama wawili tofauti, mtoto wa kwanza nilizaa na mwanamke ambae alihitaji tu mtoto lakini ana maisha yake na wala haitaji...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari zenu,kiukweli nimekuwa addicted na wanawake weusi sio weusi ila weusi kama mkaa. Nikiona msichana wa hivyo uwa napagawa. elimu yangu nina diploma ya clinical medicine . -umri nina miaka 25...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Natanguliza shukrani kwa Mungu aliempa maarifa mwanzilishi wa hiki kitu kwani bila wao nisingekua hapa. Japokua sikuweka tangazo la kumtafuta mwenza lakini kwa neema,rehema na mipango ya Mwenyezi...
20 Reactions
130 Replies
10K Views
I'm a 28year old lady who runs a start-up. I'm looking to meet a Tanzanian gentleman aged 30-40 who is looking for a serious relationship. I love reading and traveling, and enjoy any outdoor...
1 Reactions
92 Replies
5K Views
Aslaaam aleikum Serious natafta mke muislaam ...umri Wangu ni miaka 36....awe na umri wowote Ila lazma aidha ajue dini au awe tayari kusoma dini Awe na hofu na mwenyez mungu...awe tayari na...
3 Reactions
13 Replies
921 Views
Mimi ni kijana wa mikaa 27, ni Afisa wa Serikali (Maliasili). Elimu yangu ni shahada (BSc. Forestry). Ila Binti awe na Elimu ya Kuanzia cheti (Certificate), stashahada (Diploma) au Shahada...
0 Reactions
5 Replies
969 Views
Habari wakuu, Kwa Mara ya kwanza najitokeza kuandika Uzi huu special kwaajili ya kumtafuta msaidizi/mke/mchumba. Mimi ni kijana wa miaka 28, naishi Dar. Dini yangu mkristo na nina mcha Mungu...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
  • Closed
Hello everyone Just thought i should try, i might get lucky. I am 27 yrs old n 2 weeks pregnant, unfortunately i have to choose between being a single mother and abortion (God forbid). But...
30 Reactions
124 Replies
14K Views
1. Kumuacha mpnz uliyempenda aende? 2. Kumsahau uliyempenda? 3. Kuanza upya bila yeye?
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari, Mimi ni kijana wa miaka 28 niko single, nimejiajiri. Nahitaji mwanamke aliye serious, mwenye kumuogopa mungu. Awe tayari kupima. Maelezo zaidi ni PM.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kichwa cha habari cha husika mimi ni mwanamke naishi Njombe, natafuta rafiki ambaye tutashauriana issue mbalimbali kuhusu ili janga ikiwezekana baadae awe mume. Awe na sifa zifuatazo ...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Mimi ni kijana wa umri takribani miaka 30 sasa. Elimu yangu ni shahada ya kwanza(Engineering) toka Udsm na kwasasa ni muajiriwa kwa private company moja huko kanda ya ziwa. Natafuta mke mwema...
6 Reactions
31 Replies
3K Views
Ninatafuta mchumba tuje tufunge ndoa, awe serious kweli ,elimu yangu ni diploma Nina miaka 25. Ninatarajia nimpate mchumba mwenye cfa zifuatazo Mwenye upendo wa dhati Mwenye kunijali mm na familia...
4 Reactions
59 Replies
5K Views
Back
Top Bottom