SuperHb
JF-Expert Member
- Mar 21, 2016
- 910
- 742
Habari wanajf...
Mimi ni kijana bora...mwenye ucheshi na ustaarabu..
Nahitaji rafiki wa kike wa kuwa na mawasiliano nae...hata ikiwezekana kwa mapenzi ya mungu tuweze hata kuwa wapenzi .
1:UMRI uwe chini ya miaka kuanzia 18-24...,
2:Kuhusu rangi awe MWEUSI ila si sana,MWEUPE au Maji kunde vyovyote sawa..
3:Kuhusu Elimu..Kuanzia O.level nakuendelea...
4:Kuhusu dini Sibagui...ila priority kubwa iko kwa Christianist..
5:Nahitaji awe Mrefu kiasi,asiwe mnene,saizi za wastani tu...
Ni hayo tu ndugu zangu.
ni PM...Aliye tyari
NITASHUKURU SANA