Serious natafute mke wa kuoa

clay70

New Member
Apr 18, 2017
1
1
mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 32 ,dini muislamu ni mwajiriwa wa serikali kada ya Elimu, nafanya kazi halmashauri ya jiji la mwanza, natafuta mwanamke aliye serious kuolewa na kuwa na maisha yake.

sifa za mwanamke nimtakaye
1 Awe muislamu anaye ijua dini
2 umri miaka 22 mpaka 30
3 Elimu kidato cha nne na kuendelea
4 mwajiriwa au sio mwajiriwa ila awe no uwezo wa kuwa mjasiliamali

aliye Tayari ani pm tuwasiliane, Kama hauusiki usi comment,niko serious na sio utani,
 
Umeamua kukiasi chama?
Haha mzee upo fasta umeweka censor kwenye post za wafanyakazi wenzako nini?

Hapa nachofanya napiga chenga moja halafu nakutengea pasi moja matata... HATUJARIBIWI
 
mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 32 ,dini muislamu ni mwajiriwa wa serikali kada ya Elimu, nafanya kazi halmashauri ya jiji la mwanza, natafuta mwanamke aliye serious kuolewa na kuwa na maisha yake.

sifa za mwanamke nimtakaye
1 Awe muislamu anaye ijua dini
2 umri miaka 22 mpaka 30
3 Elimu kidato cha nne na kuendelea
4 mwajiriwa au sio mwajiriwa ila awe no uwezo wa kuwa mjasiliamali

aliye Tayari ani pm tuwasiliane, Kama hauusiki usi comment,niko serious na sio utani,
Mkuu mtafute rubii humu nimeachana naye nadhani saivi yupo single .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom