Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,
Nina umri wa miaka 28 mwajiriwa, kwa kipindi nimekuwa natafuta mchumba na mke wa kumuoa bila mafanikio. Nimekuja rasmi kwa jukwaa hili kutangaza kwamba hili...
Jna naitwa Mohammed Ramsey
Naish Dar es salaam
Umri wangu miaka 26
Kabila langu Mzaramo
Natafuta mchumba ili awe mke wangu
Awe mwenye kujitambua na mwenye uelewa
Umri awe kat ya 18_24
Alikuwa...
Mi nna umri wa miaka 30.ni graduate wa shahada ya kwanza na nmejiajiri kwenye project zangu.
Natafuta mchuchu mwenye nia ya dhati tufanye maisha whatsapp me through +255758502366
Nataka kuoa watu wenye ethnic hizo mbili, sina sababu ila basi tu nataka kufanya vitu tofauti na wengine. Kama umo humu here is your chance don't let it pass you by
Habari za week end wana JF?
Mimi binafsi niko salama namshukuru Mwenyezi Mungu, naomba nitumie nafasi hii
adhim ya JF kujitafutia mume. Mwenye nia ya dhati anipm.
Am serious jamani
Utani tuweke...
Mimi ni kijana mwenye umli wa miaka 31 ni muajiliwa serikalini elimu yangu ni shahada
Nahitaji mke mwenye nia ya dhati kujenga familia umli miaka 24 mpaka 33
Kwa alie serious napatikana kwa...
Kuna kipindi nilikuja hapa jukwaani kulalamika na kuomba wanajukwaa hili wanisaidie kumpata mwanamke niliyempenda sana na ni member anayejulikana kwa jina la rubii baada ya jitihada za...
Sijui ni stress za maisha umeshaambiwa hapa ni LOVE Connect mtu anatoka alikotoka anaanza kuwakosoa wanaosaka wachumba Mara wawakejeli sasa umefungua page hii ya nini kama huna positive...
Re: ADVERTISMENT
More than serious nahitaji mume wandugu
Wana JF, mimi ni mwanadada na leo nimeona nijitoe muhanga kabisa maana ninahitaji mume/mchumba. Niko tayari kupokea kukosolewa ila...
Kuna huyu Binti n rafiki angu sana, ni rafiki wa kawaida tu. Ila amekuwa akinifanyia vitu kama mpenzi wake vile. Yan ananijali kuliko hata mpenz wangu. Yeye ana mpenz wake pia. Kila muda lazima...
Habari za wakati ndugu zangu,
Ninapenda kuomba msichana urefu wa cm 160, mweupe kidogo, mcha Mungu, elimu form six na kuendelea, bikira. Mnyenyekevu, kabila lolote, asiye na hasira mbaya; asiye...
Hodi wanaJF,
Trending news ni Makonda na vita thidi ya madawa ya kulevya, naunga mkono mapambano hayo, lakini naendelea na ratiba yangu ambayo leo ndio siku yangu rasmi ya kutangaza nia ya...
Watu wenye masihara wamevamia jukwaa hili,unakuta MTU ameweka post ya kutafuta mpenzi kumbe hayuko serious,anataka aone tu wangapi watampaparikia! hasa wasichana na wanawake ndo wenye tabia hizi...
Mimi ni mvulana wa miaka 27 nafanyia kazi serikalini nikiwa kama afisa msafirishaji, natafuta mwenza niishi naye awe dini yeyote. Aliyetayari namkaribisha.mawasiliano.ukimbile@yahoo.com
Habari za leo wana JF,
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 37 natafuta mwanamke ambaye atakuwa mke anatakiwa awe ana umri kati ya miaka asizidi 34, akiwa hana ama watoto ni sawa, wasizidi...
Msichana anayetaka kuolewa anicheki 0677287265 na miaka 25 . kabila lolote dini yeyote umri miaka mwisho 24 .mim ni mtumixh wa kuajiliwa ktk sekta flani kama upo serious piga namba hiyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.