Hi all
Mimi ni mwanamme wa miaka 29,ninatafuta mpenzi wa kike.
1.Awe mwenye mapenzi ya dhati na mwenye kupenda mapenzi ya dhati,na mwenye kuthamini utu.
2.Sichagui rangi,ila kama ni mweupe...
Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 30 sasa nakuja hapa kwa mara ya kwanza, natafuta mwanamke mwenye miaka kuanzia 23 kuendelea mpk 29. ambaye yupo tayari tuwewapenzi kwa ajili ya kuja kuoana...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 36 natafuta Mke wa kuoa atakaye kuwa tayari kuishi na mimi katika hali zote. Awe tayari pia kuishi na mume nje ya dar es salaam, awe na umri kuanzia 32 mpaka...
Mimi ni mwanaume Nina miaka 28 nahitaji binti wa miaka 20-25
aliyeko tayari kuanza mahusiano awe na hofu ya mungu, self respect, simple (no too much makeups) ametulia ,msafi,mcheshi, mrefu wa...
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 28, ninatafuta msichana kuanzia miaka 20-25, ili awe mchumba na Mungu akipenda tuje kujenga familia huko mbeleni.
Wasifu wangu;
Mimi ni mfanyabiashara...
Natafuta mke mwenye sifa zifuatazo
1. Awe na ngozi yake original ambayo haijachubuliwa wala kuongezwa chemical yoyote
2. Awe na nywele zake halisi 24hrs
3. Awe na nyuso kope na rangi ya macho yake...
1 Nina miaka 31
2 Mjasiria mali
3 Mwanamke awe na umri wa kuanzia 21hadi 27
4 Mkristo
5 Mwenye maadili ya kiafrika kwa ufupi awe na tabia njema
6 Asiwe na mtoto
7 Asiwe mtumiaji wa mikorogo yani...
Mimi ni mschana wa umri wa miaka 26' mweupe na mrembo kiasi nina degree ya sheria kutoka chuo kikuu flani mkristo, na nitapenda mume wangu mtarajiwa awe na umri wa kuanzia miaka 35_45.
Mimi ni msichana ni mwalimu niko Shyinyanga natafuta mchuba umri miak32_38 awe mkristo, am serious sipendi dharau wala kebehi, Mungu awabariki, mwenye nia ani PM.
Habar wana JF Natafuta girl alie na shida kama yang i mean natafuta mchumba miaka at least awe na 18=>23....
Mimi nina umri wa miaka 22 nina kaz inayoniingizia kipato alie tayar ani PM ni hayo 2.
Hello everyone, I am a woman who is looking for someone to start a friendship with a guy which could lead to other things. I am 31, I have 1 child. I have a PhD. I am down to earth and easy going...
Habari zenu wana JF,
Ninahitaji boyfriend alie serious na awe na ajira awe mkristo
asiwe mlevi awe na elimu kuanzia O'level.
WASIFU WANGU
Mimi nina umri wa miaka 31
Maji ya kunde
Mkristu...
Habari zenu wadau,
Nipo Tanga ni mfanyakazi.natafuta rafiki wa kike baadae aje kuwa mke .
Umri wangu ni 35
Dini mkristo
Sifa za ninaye mtaka.
Mweusi
Mrefu kiasi
Awe mchapakazi na mbunifu hata kama...
Mm ni kijana mwenye umri wa miaka 32,ni mwalim kwa tauuluma elim yangu ni degree moja.Mwanamke awe mwislam akiwa din nyingne akubali kubadlisha din, Elim yake isiwe chin ya kdato cha nne na...
Mimi ni kijana wa kiume nina miaka 27 elimu yangu ni diploma ya ualimu na nimebahatika kuajiriwa serikalini shule moja iliyo apa mkoni singida natafuta mwanamke ambae atakuwa tayar kuolewa na...
Habarini za jioni hii wana jamii Forum. Natafuta rafiki wa kike wa kuchat naye, kushauriana mambo ya maisha, pamoja na kubadilishana mawazo, sifa awe anaishi Mwanza, umri chini ya miaka 23. Mimi...
Habari za leo wana JF,
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 37 natafuta mwanamke ambaye atakuwa mke anatakiwa awe ana umri kati ya miaka asizidi 34, akiwa hana ama ana mtoto ni sawa. Mimi ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.