Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
salamu! Kichwa cha habari kinajieleza. Natafuta girlfriend mwenye sifa hizi Umri: 18-29 Elimu: awe anajua kusoma na kuandika SIFA ZANGU Umri: 30 elimu:masters Kazi:nimeajiliwa sekta binafsi...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Hi, Rafiki wa kike anahitajika then aje kuwa mke if God wishes. Am 36, graduate nimeajiriwa serikalini, niko Dar. Uwe atleast na diploma, mwenye ajira. Uwe Mkristo (Protestant/Pentecost). Umri...
0 Reactions
49 Replies
4K Views
Mimi ni kijana umri miaka 27 mjasiriamali na mkulima ambaye pia namalizia elimu yangu ya chuo(shahada ya uhasibu) dini yangu mkiristu (mkatoriki) naishi DSM nahtaji mwanamke vigezo miaka...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari zenu wapendwa wote humu JF, Nimejitokeza ukurasa huu kwa mara ya kwanza, nikiwa nashida ya kupata mke. Naitwa Michael umri wangu miaka 29 kabila masai naishi Singida Manyoni ni mfanya...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya kweli sifa zangu umbo ---wa kati rangi-mweusi dini-mkristo umri-26 kazi-nimeajiriwa sekta binafsi Sifa za ninae mtaka awe maji ya...
9 Reactions
87 Replies
10K Views
Mimi ni kijana wa Kitanzania ninaishi mkoa wa Dar . Nina umri wa miaka 30 . Elimu yangu ni Masters Degree . Nina ajira inayoniingizia kipato. Nimechoka ukapela . Hivyo ,ninamtafuta mwanamke wa...
3 Reactions
14 Replies
4K Views
Mimi ni binti 25yrs, nahitaji mpenzi au mtu wa kuwa karibu nami na faraja, iam going through hard time kiasi na kwa magumu ninayopitia nahitaji rafiki mmoja wa pekee ataenifariji na kunishika...
10 Reactions
79 Replies
8K Views
Nina mpenz wangu tnapendana sana lakin kanizidi umri mmoja Sasa wanadai ni vbaya msichana kumzid mvulana so nlikua naomba ushaur jaman
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Mimi ni mwanaume wa miaka 31 nimeajiliwa natafuta mchumba ambaye atakuja kuwa mke awe mkristo pia aliye na shughuli yoyote hata mfanya biashara halali umri kuanzia miaka 23 kuendelea mpaka 28...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi ni kijana miaka 30.Natafuta mchumba rangi, umbo, elimu sio kigezo ili awe anajielewa,anajitambua asiwe tegemezi awe mchapakazi. Kama unaona uko tayari ni pm tuwasiliane. Kwa wale wa masihara...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwanza kabisa napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa uongozi wote wa Jf, Binafsi nmekuwa msomaji mkubwa sana wa jf (As Guest User) mpaka kipindi hiki nilipopata msukumo wa kumtafuta mwenza wa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Mimi ni mwanaume wa miaka 31 natafuta mke wa kuoa aliye serious kwa ndoa awe na umri wa miaka Kati ya 20-28 aliye tayari tuwasiliane pm tafadhari asanteni
0 Reactions
3 Replies
815 Views
Habari zenu wapendwa. Naamini JF ni sehemu nzuri sana ya kufahamiana. Nimeshuhudia watu waliooana kipitia jf.Hivyo nami naamini nawezapata mke kupitia humu. Mimi nina 43yrs. nimejiajiri, mrefu...
0 Reactions
51 Replies
6K Views
Habari wanajamvi, Mimi ni msichana umri miaka 26, muislamu, elimu ya chuo kikuu, muajiriwa serikalini. Natafuta mchumba umri 32+, muislamu mwenye hofu ya Mungu, elimu ya chuo kikuu, kabila lolote...
6 Reactions
70 Replies
14K Views
Mimi ni msichana mwenye umri 31. Elimu Degree, nimeajiriwa serikalini, na ni mkristo. Nahitaji mwanaume ambaye yupo tayari kuanzisha familia, awe na umri kati 31-45.Elimu angalau kidato cha sita...
12 Reactions
113 Replies
15K Views
Habari. Kuna ndugu yangu wa kiume anaitwa denis. Achagui dini. Ila mkristu angefaa zaidi.Ana miaka 36. Yuko serious anatafuta mchumba mwanamke mwenye umri kwanzia 21 baadae aje awe mke. Yeye kazi...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
natafuta mchumba ili baadae aje kua mama wa familia yangu umri miaka 18-40,awe mcha Mungu.mwonekano awe mrefu kiasi na asiwe mnene sana.Awe anatokea kusini Aliye tayari anitumie ujumbe...
0 Reactions
0 Replies
767 Views
Habari za jioni wana MMU, Kuna jambo nimekuwa nikilifikiria sana lakini bado sijalipatia jawabu ni kuhusu hili jukwaa la love connect. Kwa wale waliotafuta wenza huko naombeni kujua kama...
3 Reactions
34 Replies
3K Views
Am a man turning 24years old later in this year. I am still a student at a certain institute here in Tanzania. And I think it is the right time for me to find the right woman to whom, I shall...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Naitwa Ahmed Naish Dar es salaam Gongo la mboto Umri miaka 24 Kabila Mndengereko Natafuta Mchumba ili awe mke wangu Nipo serious na sio masihala Umri awe 18_23 Mawasiliano 0719 608563
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom