Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni huyu Rose Mayemba na genge lake huko ukimbizini Kenya. Wanapost video za Oktoba 29 kiasi cha kutoa morali ya wapenda mabadikiko. Inaonekana ni upuuzi. Hawako serious.
0 Reactions
0 Replies
107 Views
Wakuu . Njia iliyotumika ya kuua watanzania October 29 ni njia waliyotumwa na serikali ya China kupambana na maandamano ya Tiananmen. Katika maandamano hayo takriban watu karibu 10,000...
0 Reactions
13 Replies
504 Views
Tangazo kwa vijana wote wa tanzania. Vijana wote wa tanzania mnashauriwa kutoshiriki katika ushawishi unaofanywa wa maandano hapo tar9/12 Kimsingi, hakuna maandamano kwa vile waloyatangaza...
2 Reactions
22 Replies
683 Views
Hii ndiyo hali ya mitaa mbalimbali ya Manispaa ya Kahama kama unavyoona pichani. Baadhi ya watu wameendelea na shughuli zao kama kawaida huku idadi kubwa ya biashara zikiwa zimefungwa, Vikosi vya...
1 Reactions
1 Replies
282 Views
Ni kama vile D9 ina baraka zote za kiroho! Na matendo ya kiroho hayapangwi na binadamu Vibe ni kubwa mno kuelekea D9 lakini kuna uvumi kila mahali kwamba inaweza isifike huko, na ya kwamba mambo...
16 Reactions
101 Replies
3K Views
Jeshi la Polisi lingependa kueleza kuwa, kuna hii picha mjongeo ya zamani na nyinginezo zinasambazwa kwenye mitandao ya kijamii zikihadaa wananchi kuwa maandamano yameshaanza. Hakuna jambo kama...
2 Reactions
3 Replies
317 Views
Mkoa wa Iringa asubuhi ya leo 9 Disemba 2025 katika siku ambayo ni Sikukuu ya Uhuru Nchini
0 Reactions
1 Replies
234 Views
Kuna kiongozi Mmoja ndani ya Afrika mashariki aliwahi mwambia kiongozi wa Nchi yetu nyakati hizo kwamba anaongoza "maiti". Ilikuwa lugha ya kuuzi,kukera,kudhalilisha na kushusha utu wetu.lakini...
5 Reactions
11 Replies
434 Views
Katika historia ya Tanzania hakuna mtu ambaye amewahi kushinda urais kwa asilimia 97.6 za kura zote zilizopigwa. Na katika hiyo hiyo historia yetu, hakuna mtu ambaye amewahi kuchaguliwa kwa kura...
8 Reactions
4 Replies
281 Views
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo amefanya mazungumzo na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Andrew Lentz, Ikulu ya Chamwino, kuhusu...
2 Reactions
25 Replies
889 Views
Wanaukumbi. Ni mtu mjinga tu ambaye angeweza kudhania kuwa Rais Samia angejitokeza hadharani na kuongea na wazee wa Dar Es Salaam na kuanza kutiatia huruma na kubembeleza watu!.. Rais Samia...
10 Reactions
109 Replies
3K Views
Ukaguzi wa Usalama kwa Njia ya Anga, Helkopta ya Kijeshi Ikizunguka Maeneo mbalimbali ya Dar Es Salaam wakiangalia Usalama. Vipi hali huko mitaani wakuu?
0 Reactions
4 Replies
253 Views
Tupo wengi sana ofisi za UN Leo lazima kiwake yaani litakufa jituuu
13 Reactions
41 Replies
2K Views
Kila kona leo isipokuwa vijijini watu wamekaa ndani na hawatoi hata pua nje. Ila Waandamanaji wamesema wataandamana mpaka Rais Samia aachie nchi. Sasa tutaishi maisha haya kila mara wakiitisha...
4 Reactions
9 Replies
446 Views
Rasmi leo Disemba 6 adhabu ya kufungiwa kwa jukwaa letu pendwa la JamiiForums imemalizika JF Ilipata ban tarehe 6 September 2025 kwa maelezo ya kukiuka Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na...
18 Reactions
100 Replies
4K Views
Amani ya Bwana iwe juu yenu watanzania. Maandamano ya siku ya uchaguzi mkuu (MO29) yameweka hadharani mambo yanayofanywa na serikali ya CCM. 1.Utekaji 2.Mauaji 3.Uchakachuaji wa uchaguzi...
4 Reactions
10 Replies
371 Views
Hii Ndio Hali Halisi Ilivyo Mitaa ya Kwa Msuguri Mbezi Jijini Dar Es Salaam Leo Disemba 9, 2025 . Kuna Hali Ya Utulivu kufuatia Maagizo ya Serikali ya Kuwataka Wananchi wasio na Ulazima Wa Kutoka...
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Huo ndio ukweli mchungu. Mambo hayo yanaweza kupatikana ai kufanikiwa tu wakati Samia na watuhumiwa wenzake wakiwa wanajitetea ICC au teyari ni wafungwa katika magereza mbalimbali duniani na si...
1 Reactions
0 Replies
137 Views
DeletedMember281674
Naona figusi Tayari. TikTok Haipatikani Tanzania bado Instagram, X, Thread na Facebook. Tanzania yangu nakupenda
8 Reactions
21 Replies
1K Views
Hivi ndivyo hali ilivyo siku ya leo Disemba 9 mkoani Ruvuma katika maadhimisho ya miaka 64 ya Uhuru wa Tanganyika.
0 Reactions
2 Replies
278 Views
Back
Top Bottom