Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ninaona giza mbeleni kwa upande wa Muungano wetu wa Tanganyika +Zanzibar kimuundo na kiutawala. Tukumbuke kuwa zile zilikuwa zinaitwa kero za Muungano, sasa hivi ni kama hazipo hii ni kutokana na...
2 Reactions
2 Replies
278 Views
Licha ya kuwepo kwa taarifa na tetesi za uwezekano wa kutokea maandamano katika maeneo mbalimbali nchini, hali ya amani imetawala katika mji wa Singida, huku shughuli za ulinzi na usalama...
0 Reactions
8 Replies
253 Views
Happy Independence, my fellow Tanganyikan. This nation is your birth right, and a priceless inheritance for your children and future generations. Protect it. Cherish it. Love it. And stand firm...
0 Reactions
1 Replies
124 Views
Nashangaa wanaosema Tanzania kulikuwa na maandamano! Niwekee picha Moja tu ya watu "wakiandamana" tarehe 29/10 nami nitakutumia makumi ya picha za wahuni wakiharibu mali za umma na kupora...
2 Reactions
9 Replies
210 Views
Raia bado wanasoma mchezo wa hali halisi ila mpaka mida hii mitaa inaonekana kuwa ni myeupe kabisa. Tupe update za ulipo.
14 Reactions
85 Replies
3K Views
Mchungaji Hananja amesema watanzania wanaodai maiti za ndugu zao waende wakadai Congo maana Tanzania hizo maiti hazipo.
3 Reactions
45 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewatakia kheri ya sikukuu ya Uhuru Watanzania kupitia kurasa zake za mitandao ya Kijamii. Rais Samia amesema 'Kheri ya Miaka 64 ya...
1 Reactions
13 Replies
465 Views
Mwenyekiti wa Umoja wa Waendesha Bodaboda wa Tawi la CBT wilayani Kahama Mkoa wa Shinyanga, Amiri Ali, ameitaka Serikali kuwachukulia hatua za kisheria watu wote wanaohamasisha na kushiriki...
1 Reactions
0 Replies
161 Views
Kuyaruhusu na kuyarahisisha maandamano, ndo mbinu nzuri ya kuzuia machafuko yanayotokana na maandamano. Maandamano yakifanywa kuwa kitu cha kawaida kwa watanzania; basi ustaarabu wa kuandamana...
1 Reactions
20 Replies
460 Views
Mwatuona wajinga. Siye wajinga wenyu. Mmetupanda kichwani. Hehehe! Yalaa. Na bado. Tutaelewana walahi. Leo mwalala na Viatu. Biye biye biye. Hamjui hata nini kinakuja. Mayii. Kazi inafanyika...
10 Reactions
55 Replies
2K Views
Watu hawadanganyiki kizembe tena. Yale mambo ya kupigwa makofi halafu kupewa peremende kama watoto wadogo sasa yamekwisha. UZI TAYARI.
8 Reactions
9 Replies
293 Views
Nina uchungu nalia hakika Leo hii angekuwepo Nyerere Angelia mara mia ya Mimi. Kitendo Cha kusherekea uhuru wa miaka 64 paspo kwa kufungiwa ndani ni UPUMBAVU wa Hali ya juu mno. Tunajiuliza...
5 Reactions
10 Replies
317 Views
Polisi wamejazana mijini hata waandishi wa habari wamezuiwa hii ni mbinu ya kutaka watu wasielekee ikulu na kuficha upatakanaji wa habari
0 Reactions
1 Replies
186 Views
Akizungumza na vyombo vya habari leo Desemba 1, 2025, Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Charles Kitima, amesema kuwa Kanisa Katoliki linasimamia ustawi wa jamii, heshima...
11 Reactions
54 Replies
1K Views
Kama ambavyo tumeshuhudia shughuli nyingi zikisimama katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dodoma, hali iliyo tofauti na ilivyozoeleka katika siku za kawaida. ambapo katika baadhi ya mitaa...
1 Reactions
0 Replies
180 Views
Jeshi la Polisi limewataka wananchi kupuuza picha mjongeo inayosambaa kwenye vyombo vya habari yenye kichwa cha habari "Wamasai waanza maandamano kudai haki zao Arusha." Polisi wamefafanua kuwa...
1 Reactions
5 Replies
298 Views
Nashauri Serikali ifute sikukuu zote za kitaifa kuanzia :- Mapinduzi ZNZ, Karume Day, Muungano, Sabasaba, Mashujaa, Nyerere Day, Uhuru nk. Kisha fedha zilizotengwa kwa ajili ya sherehe hizo...
1 Reactions
7 Replies
326 Views
Huu wimbo una viashiria vya ukombozi na uvunjifu wa amani. Hivyo ingefaa upigwe Marufuku na BASATA kuleta utangamano wa kitaifa
5 Reactions
52 Replies
2K Views
Hivi watawala wataishi kwa kuogopa mpaka lini? Hii dhuruma waliyoifanya itawaandama kila siku,kwa nini msiwape wanainchi wanachokitaka,wamue yaliyomo ndani ya mioyo yao. Huu ushindi wa asilimia...
2 Reactions
4 Replies
172 Views
Back
Top Bottom