Wanabodi!
leo tunapo sherehekea maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru, ni maadhimisho ya Tanzania, japo iliyopata uhuru ile Desemba 9, ni Tanganyika na sio Tanzania, maadhimisho ya leo ni maadhimisho...
Ndugu zangu Watanzania,
Hali ni shwari sana mitaani kote. Amani na utulivu vimetawala na kutamalaki,shughuli za kujipatia kipato kwa mwananchi mmoja mmoja zinaendelea kama kawaida huku wananchi...
Jamani nikiwa kama Mtanzania kada mwaminifu wa CCM naomba Mama angalau atupungie mkono, maana kwa mara ya mwisho tumemuone siku akiongea na wazee wa Daresalamu, tumekumisi
Mnajidanganya: Kutokuandamana sio kuunga mkono!! TATIZO LIKO PALEPALE. kuzuia watu haina maana watu wanaunga mkono hivyo tatizo liko palepale na inawezekana linakuwa zaidi chinichini.
Watoto...
Askofu Godson Abel Mollel wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Kati (Arusha) amesema kuwa anayekushawishi ukaandamane kupitia mtandao hakikisha ametangulia na watoto wake, na baba yake na mama yake ndipo...
TANGAZO KUTOKA WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA
Kutokana na tangazo la Serikali kuhusu mapumziko ya kitaifa tarehe 09 Disemba 2025, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia inatangaza kuwa...
Hakuna watu nawachukia kama hawa viumbe wanaoitwa Polisi
Ndo maana mkiingia kwenye anga za wajeshi huwa wanawashughulikia
Wengi ni form four leavers ambao walifeli hawana elimu yoyote kichwan...
"Tuepuke upepo mbaya unaosambazwa kwa chuki za kidini, sisi waisalam Mungu hatuktazi kuishi kwa wema na wasiokuwa waislam, maisha ya watu lazime yalindwe nawasihi wote wanaohamasisha matendo ya...
Wananchi mkoani Manyara, Wilaya ya Babati, wamesema mkoa huo unaendelea kuwa salama, huku wakazi wakiendelea na shughuli zao za kila siku bila wasiwasi. Wamefafanua kuwa hadi sasa hakuna kiashiria...
Wale mliokosa kazi mnasubiria kuandamana, mchongo mpya ni kwenye izo izo spaces hao wanaowahamasisha mfanya vurugu sasa ni mda wa kufunga hio chapter na waanze kutumika kuleta fursa kwa wote...
Nimebahatika kusoma dini ya kihindi kidogo, Kuna sehemu inasema kwamba! Kama ulikufa ukiwa mwema basi huwa unazaliwa sehemu nyingine kama mtu mpya, kama ulikufa ukiwa na kinyongo ama ulikuwa...
Muda huu wa majira ya kuelekea Saa 4 kwenda saa 5 Asubuhi. Hali ya mazingira katika maeneo mbalimbali ya katikati ya Jiji la Dodoma leo Disemba 09, 2025 imeendelea kuwa tulivu, huku ulinzi ukiwa...
Kundi la wanaharakati na watetezi wa haki za binadamu nchini Kenya limekamatwa leo Desemba 9, 2025 nje ya Ubalozi wa Tanzania jijini Nairobi wakati wakikabidhi ombi linalopinga rekodi ya Rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.