Wakaazi wa jiji la Dar es Salaam Tanzania waelezea adha ya usafiri mapema leo.
Leo ni sikukuu ya Uhuru nchini Tanzania, na siku ambayo pia yamepangwa kufanyika maandamano ya kuipinga serikali...
Mtuhumiwa anaweza kurejeshwa Tanzania kutoka nje ya nchi kwa makosa makubwa kama uhujumu uchumi, rushwa, ugaidi, au mauaji endapo masharti ya kisheria yatatimia:
1. Extradition Act, Cap. 368...
Unajua JKT ilikuwa nini kabla haijageuzwa kuwa kambi ya kukimbiza vijana kama kuku?
JKT ilikuwa shule kubwa kuliko zote, hospitali kubwa kuliko zote, shamba kubwa kuliko yote,
chuo kikuu kikubwa...
Demokrasia inahitaji sauti huru na uwajibikaji wa viongozi lakini pale ambapo kundi la vijana linageuka kuwa mashabiki badala ya walinzi, misingi hiyo taifa na misingi imara ya demokrasia huanguka...
Wakuu,
Hii wiki na zaidi ilikuwa muda wa vyombo vya dola kuandamana, yaani wajuba wametoka barabarani hadi na vifaru😂😂 kama wapo vitani vile kumbe ni kutisha wananchi wasitoke kesho!
Safari hii...
October 29 pia channel link ilitolewa mwishoni kabisa na ndio maandamano yakaanza, bila kuwa na app ya kuunganisha waandamanaji ni ngumu sana watu kutoka.
Sasa jana kasema watu wadownload zello...
Sio huyo tu, hata Mwigulu hatumuhiraji nae aende makambini akaongee na wabeba bunduki.
Hii ndio nchi iliokuwa inaitwa kisiwa cha amani leo inatawaliwa kwa mtutu wa bunduki.
Ni aibu na fedheha...
Watanganyika tumejenga tabia ya kutafuta mchawi wa matatizo yetu kila kukicha — tukimlenga kiongozi, chama, au mtu fulani. Wengi leo wanamlaumu Dkt. Samia, wengine CCM, wengine wafanyabiashara, na...
Ndugu Samia Suluhu Hassan ndiye hasa anayefanya kesho tuandamane kwa mara nyingine tena maana hakuna hata moja alilotekeleza.
1. Wafungwa wa kisiasa bado wanashikiliwa
2. Waliotekwa na kupotezwa...
Mchana wa October 29, Serikali kupitia vyombo vyake vya Ulinzi na Usalama vilitoa kauli kwamba ikifika saa 12 watu wawe ndani. Kauli ile kwanza haikutangazwa kwa juhudi za kutosha ili ziwafikie...
Wandugu
Nimewaza na kuona kuwa mfumo wa vyama vingi afrika hasa Tanzania ni mfumo unaotumika kuwaibia wazungu pesa. Janja ya kupata pesa za bure za misaada nk.
Kwa nini nasema hivi nchi nyingi...
"Watanzania wote heri ya miaka 64 ya uhuru, uhuru wetu ndo maisha yetu. Watanzania siku hii ya uhuru tutafakari safari yetu, tutafakari nchi yetu, tuilinde nchi yetu. Kataa kushiriki matendo ya...
Ni asubuhi leo desemba 9, 2025 katika maeneo ya Tegeta Kibao jijini Dar es salaam, Askari Polisi wakifanya ukaguzi wa kila gari yakiwemo mabasi yanayotokea Kaskazini (Arusha, Moshi na Tanga).
Wema ‘wa Mama’ ameelekea South Africa, na ameenda jana Disemba 7 na taarifa za aliko tunazo.
Mwijaku yeye katimkia Dubai juzi Disemba 6. Na aliko taarifa zake pia tunazo.
Sasa hawa watetezi wa...
Mwandishi wa Habari wa BBC akionesha hali ilivyo katika Jiji la Dar es salaam leo Desemba 9, 2025, ikiwa ni maadhimisho ya miaka 64 kumbukumbu ya siku ya uhuru.
Ikumbukwe kufuatia madai ya...
Taswira ya maadhimisho (ambayo hayafanyiki) ya Miaka 64 ya Uhuru nchini Tanzania baada ya polisi kujaa mitaani kudhibititi maandamano yaliyopangwa kupitia mitandao ya kijamii.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.