Jitafakari kabla ya kushiriki maandamano yeyote yale

Jitafakari kabla ya kushiriki maandamano yeyote yale

Msemahaki kapata Rungu

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2025
Posts
267
Reaction score
144
Tangazo kwa vijana wote wa tanzania.

Vijana wote wa tanzania mnashauriwa kutoshiriki katika ushawishi unaofanywa wa maandano hapo tar9/12

Kimsingi, hakuna maandamano kwa vile waloyatangaza wameshaishiwa pumzi.

Jali maisha yako.
 
TANGAZO KWA VIJANA WOTE WA TANZANIA.

VIJANA WOTE WA TANZANIA MNASHAURIWA KUTOSHIRIKI KATIKA USHAWISHI UNAOFANYWA WA MAANDANO HAPO TAR9/12

KIMSINGI, HAKUNA MAANDAMANO KWA VILE WALOYATANGAZA WAMESHAISHIWA PUMZI.
JALI MAISHA YAKO.

Hakuna watu wanasaidia nchi yetu kama hawa vijana waliogoma kunyanyaswa , kutekwa, kuibiwa kura. Hakuna watu wabaya kwa nchi yetu kama watu wanaosema tusifanye chochote. Hawa ndiyo maadui wetu. Ni wepesi sana kulaani lakini hawatoi njia yeyote.

Je ni Lini umechukuwa muda na kulalamikia serikali kwenye haki , katiba mpya, rushwa na mambo mengine
 
Amka usingizi maana utajinyea bonge la kimba.

TANGAZO KWA VIJANA WOTE WA TANZANIA.

VIJANA WOTE WA TANZANIA MNASHAURIWA KUTOSHIRIKI KATIKA USHAWISHI UNAOFANYWA WA MAANDANO HAPO TAR9/12

KIMSINGI, HAKUNA MAANDAMANO KWA VILE WALOYATANGAZA WAMESHAISHIWA PUMZI.
JALI MAISHA YAKO.
Sijawahi kukosea mtu adabu ila wewe ni mnafaika wa damu za ndugu zetu
 
Back
Top Bottom