Si ajabu kwan mara kadhaa watu wenye akili walionya kuhusu hawa wanaoanzisha maadamano kwamba wenyewe hawatokagi na kwel tumeshuhudia bado wako online mpaka sasa wengine hawataki kuoga asubui hivo...
Nyambafu kweli yaani!.
Wakibana Leo tu atoka kesho, wakibana kesho, tu atoka kesho kutwa. Hakuna siku maalum ya kuandamana.
Heshima sana Watanganyika.
Angalizo: Watanganyika wakichoka kukaa...
azama hali ilivyo hii leo mapema kabisa asubuhi katika jiji la Mbeya hususani katika maeneo ambayo yamekuwa na mikusanyiko mikubwa ya watu ikiwemo eneo la Kabwe.
Hii inafuatia kuwepo kwa vuguvugu...
Salam
Tutajitahidi kadri iwezekanavyo leo maandamano yawepo tena maandamano ya nguvu kubwa mpaka mafedhuri waachie nchi
Ikishindikana leo tutaandamana palee watakaposema raia waendelee na...
Polisi ahsante sana kwa kuendelea kutangaza maandamano haya, mnafanya kazi nzuri mnatangaza nchi nzima, nyie jifanyeni kama mnasema hayatakuwepo kumbe ndio mnayatangaza kwa kasi ya ajabu.
Hakuna kutulia, mpaka Haki ipatikane. Kama madai yetu hayatotimia basi tutakuja na J12.
By doing so uchumi utayumba, hamtopata watalii, mtamwaga bajeti kwenye ulinzi Hadi mkome.
Madai
1. Lissu...
Tanzania, kama taifa moja lenye umoja, limejengwa kwa misingi ya historia ndefu na changamoto mbalimbali. Hata hivyo, miongoni mwa matukio muhimu katika historia ya taifa hili ni siku ya uhuru wa...
Rais Samia alisema akiwa anawahutubia wazee wa Dar. Kuwa tar 29 oktoba kuna watu walipanga kuangusha dola. Ndio maana nguvu kubwa ikatumika kuua watu wasio na hatia.
Nani anataka kuchukua kiti...
Usiseme hutafikiwa, bali jiulize utafikiwa lini kwakuwa hata waliokaa kimya walifikiwa zile siku 5 za giza nene Tanganyika..
Ukiliangalia hili jambo kimwili unaweza usipate majibu ya kuridhisha...
Tetesi, kuna baadhi ya video mtandaoni wamama wafiwa wa vijana walio uwawa wanasema #D9 wanaandamana na kwamba vijana wao walikuwa na sababu za msingi.
Maandamano hayptokuwa tu ya Gen z kwenye...
Nimerudi nyuma kukumbuka kipindi kile cha JPM na waziri mkuu.
Tokea ile hotuba Who are You kufanya sasa wazee hawapishwi siti.
Kwa nini kila mtu anatoka kumuongelea wakati kuna protocal za...
Ni wazi safari imeanza Rasimi, Ndugu zangu Watanzania hii ndio nafasi pekee tuliyonayo ya kuwaondoa Hawa wahuni !!.
Wee Kijana Usiyekua na Ajira
Wee mwenye Ajira lkn mishahara haiendan na hali...
Katika maandamano yanayopangwa kufanyika tarehe 9 December 2025, nimeona watu wengi machawa wakiyabeza na kuendelea kutoa vitisho kama walivyofanya MO29.
Lakini niseme vijana ni kundi kubwa sana...
Tumekubaliana maandamano ni ya amani, sasa kuna UVCCM wamepanga kuanzisha vurugu ili polisi wapate kisingizio cha kuua waandamanaji.
Hao tunawamudu nawashauri waage kabisa familia zao kabla ya...
Mwenyezi Mungu alitangulie jeshi letu la polisi kwa kazi ya kuhakikisha kesho kunakuwa na utulivu baada ya kutokuwa na sintofahamu ya kuwepo uhalifu kwa kisingizio cha maandamano. Ninalisihi jeshi...
Diwani wa Kata ya Mwendakulima na Naibu Meya wa Manispaa ya Kahama, Shaban Mikongoti, ameomba radhi kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa kitendo cha...
Ukitaka ufanikiwe kwenye jambo lolote linalohusisha "MASS/HADHIRA", basi cha kwanza huwa ni "AWARENESS" ili uwe na mass ya kutosha.
Awareness ya Maandamano safari hii imefanikiwa kuifikia hadhira...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amesema amemwagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi, Camillus Wambura, kuhakikisha kuwa ukamataji wa watuhumiwa unafanyika kwa kufuata misingi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.