zamtaya_pr
Senior Member
- Jun 29, 2015
- 140
- 45
wadau leo kulikua na misa ya kumbukumbu ya miaka 32 ya aliyekua waziri mkuu hayati Edward Moringe sokoine iliyofanyika katika kanisa la mtakatifu joseph na kuongozwa na paroko wa parokia chini ya mwadhama polycap cadinal pengo.
viongozi mbali mbali waliudhuria akiwemo raisi mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamini wiliam mkapa, katibu mkuu kiongozi, mabalozi ,mawaziri, na wanafamilia ya sokoine.
wakati ibada ikiwa imeanza aliingia mzee wa kachukua kaweka waaa! KINGUNGE NGOMBALE MWIRU na kukaa benchi la mwisho kabsa akiwa ameongozana na bibi mmoja wa kihindi(sijui ndo mke wake).
mawazo na nlichokua nasubiria ni kuona kitakachotokea kama ujuavyo protocal inataka presidaa atoke kwanza , then waumin wengine. kwa kua babu alikua amekaa mwanzoni mwa benchi ni dhahiri kama ilivyo kawaida ya jpm anawapa mikono waumini walio jirani na anapopita. Alipobakiza kama mabenchi 5 kumfkia, ghafla nkaona mzee anachomoka na kuondoka na nusu asukumwe na msafara wa wale jamaa!.
sijapata jibu sahihi, je mzee bado ana kinyongo na jpm? toka uchaguzi hawajawahi kuonana? atamkimbia hadi lini?
wasalaam.